Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 765
Hakuna kitu kaka.
...Aisee,nimerudi kwenye reference na nimedhibitisha kuwa nimepotoka, nafuta kauli ya awali..
Hakuna kitu kaka.
Naona huku kwenye digitali hawa Clouds TV wako scrambled kabisa. Chezeiya dijitali weye, wapi Kibonde ?!
Angalau sasa sebuleni kwangu nitakaa kwa amani, maana tamthilia za ITV na Star TV zilikuwa zinaninyima uhuru nyumbani kwangu...!
Kaka fuatilia kwa makini ohoo!mke wangu nampigia na yeye hapatikani