understanding
Member
- Feb 17, 2013
- 75
- 34
Habari zenu wana jamii forum!! Hongereni kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii.
Naomba mnisaidie, ninatumia king'amuzi cha digitek na since jumanne nimepoteza channels zote isipokuwa Star TV, TB Joshua. Channels zote muhimu kama ITV, EATV, Capital TV na za nje zimepotea. Naomba kujua kama tatizo hili ni kwangu peke yangu au kuna matatizo ya kisatelaiti ambako kumepelekea channel kupotea na nn kinafanyika kumaliza hili tatizo.
Kwa bahati mbaya nimetoka home kuja mbali ili niweze kuangalia ITV (isidingo reviews) na nimekuta huku nako wanamatatizo hayo hayo... Naomba mnisaidie wana jamii kufahamu zaidi hili tatizo...
siku njema kwenu.