Mpiganji mashuhuri
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 115
- 51
Kwa taarfa yako hata redio one magazetini pamoja na kulisoma gazeti la Tanzania daima hawjagusa kabisa taarifa hiyo
Kama ya Bashite!Bro unaelimu ya kiwango gani..?? Maana si ujinga huu..
Wewe kwa akili yako unafikiri wapinzani hawataki kuanzisha TV na REDIO zao?!Ukawa, acheni upuuzi, anzisheni TV na Radio zenu, kwani RUZUKU MNAPELEKA WAPI? kila siku mnachota ruzuku kwa ajiri ya kesi za kijinga
Mliwahi kuazisha mkazuiliwa? Kwani tanzania daima si gazeti la wapinzani mbona lipo?Wewe kwa akili yako unafikiri wapinzani hawataki kuanzisha TV na REDIO zao?!
Kwa akili yako unadhani kabisa Serikali za kiafrika zinaweza kuruhusu hilo?!
Tumia akili kufikiri..!
We utakuwa mgonjwa wa akili si bure aiseeeUundeni TV ya kwenu itakayokuwa inaonyesha wauza unga wakifanya mikutano.
TV za wengine hawako tayari kuharibu brand zao
Taifa linaendeshwa na sera za vyama. Bila upinzani chama tawala hakitajua wapi kinapwaya sababu nyani haoni kundule.Inabidi jicho la nje kuweza ona. Jifunze wenzetu wanavyopokezana vijiti si mbali tu hata Kenya, Malawi, Zambia ni vijiti tu na maendeleo mbele kwa mbele sisi tutabaki kuimba wee namba one na push ups mpaka liamba wakati waliopatikana na vyeti vya bandia wapo bench ila mmoja wao Daudi anapeta kwa Malema. Watoto bado maabara hazina kemikali na zana nyingine hata gas inayozalishwa hapa nchini. Walimu wakiagiza pesa wanashtakiwa eti elimu bure. Mtajijuuu. Kumbuka wengi wa wanaojitambua wana maisha mazuri na wanataka kusaidia umma wa wasiojitambua ambao kila kitu ni bora liende. Mtajijuuuuuuu.Acha hisia za kitoto! Kwani habari hiyo ilikuwa na maslahi gani kwa taifa?
Kuna watu wameacha kabisa kuangalia taarifa za habari siku hizi, wamehamia katika social media.Huko tuendako watu watutumia zaidi mitandao yz kijamii kupata habari kuliko vyombo hivi vya habari ambavyo vinaonekana kutokizi malengo.
Media hizi zitaathirika kama jinsi mashirika ya Posta dunani lilivyoathiriwa na ujio wa simu za mikunoni kiasi kwamba utumaji wa barua siku hizi umepungua sana na wamebakiwa na huduma ya kushughulikia barua za kikazi tu(za maofisi,n.k) .
Huko tuendako watu watatumia zaidi clip za mitandaoni na maandishi kupitia mitandao kupashana habari kama ilivyo sasa.
Lema ni mbunge wa Arusha na wana Arusha walimind sana na wamekuwa naye. Wanasheria wa Ukawa wamepigana mpaka ametoka.Tatizo kukaa ndani kwa Lema mliona ndio kutamuongezea umaarufu......
Sasa ametoka ndio kwanza watu wanampotezea....
Shida ni kutafuta Umandela uchwara kwa lazima.
.
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Hata mimi nilishangaa sana ila haina noma tutaendelea kupata habari humu humu,hatuzihitaji TV zao zenye upendeleoWalianza tangu juz kweny msiba wa mam ake jk, mtangazaji aliwataja viongoz wote walo udhuria excpet MBOWE! shame on them
KaskaziniVipi channel nyingine zilionesha habari ya Lema?? Channel 10, Azam 2, Tv1, clouds tv na nyingine??
Kama sio kwa nn unawahukumu ITV tu?
Wamekuwa hawakidhi matarajia ya wateja/watazamajo wao na wajiandae kupotea kabisa.Kuna watu wameacha kabisa kuangalia taarifa za habari siku hizi, wamehamia katika social media.
Nikweli mimi mwenyewe mmoja wapoWamekuwa hawakidhi matarajia ya wateja/watazamajo wao na wajiandae kupotea kabisa.
Ni swala la muda tu.
Habari ya ccm ina maslahi gani kwa Taifa?Acha hisia za kitoto! Kwani habari hiyo ilikuwa na maslahi gani kwa taifa?