ITV mmewakosea sana watanzania

ITV mmewakosea sana watanzania

kumbe watu wanapenda kuonekana kwenye t.v.
lawama nyingi kama mtoto yatima.

kwenye magazeti na social media kunw tosha.
kikao hakina hata agenda kwa nn wakirushe.
fikiria kila mbunge akitaka kusalimia wananchi arushwe.
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasab

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
mim nadhan habar hyo ilimezwa na ile ya matapeli wa kimtandao walio kua wakitapeli watu kwa Kwa kujifanya watu wa saccos na kutumia majina ya watu maaruf akiwemo Regnald mengi hii habar ni muhmu sana hata kwa kujadiliwa humu kushnda ya alieota rahis atakufa.
 
Mnalilia airtime kwenye media. Wameshachoka na maneno ya kipuuzi ya Lema. Angekuwa anaongea vitu vya maana angepewa airtime katika kila media ila kwa sababu anachoongea ni upuuzi ndio maana hapewi kipaumbele.
 
Wakuu ukweli ni kwamba kwa Tanzania ya sasa vyombo vya habari vipo ovyo sana na ni bora mitandao ya kijamii kuliko ivi ooh bora jf na mange
 
utaitwa UKAWA sasa hivi.hapa tanzania hatuna chombo cha habari huru kamwe.kule kenya angalau wamejitaidi kwa mfano KTN NEWS.....
 
imesahau NAPE alifanya ziara pale NA Mzee wa honey moon dubai nae kawa kimya sana siku hizi hapati nafasi ya kupiga domo kwenye media zake
 
Bora hata sijalipia king'amuzi. Nasoma taarifa ya habari kwenye mitandao tuu
 
hahahaaaa, mmekosa promo eeeeeeeeeeh , dah poleni sana, vyombo vya habari vya ITV vilisha apa kuwa bega kwa bega na serikali hii, rejea kauli aliyotoa bwana Deo Rweyunga alipokuwa anazungumza na mkuu wa mkoa wa Mtwara kuhusu kurusha matangazo yao ya moja kwa moja ya kipindi cha majadiliano. tumieni ruzuku zenu vizuri badala ya kushibisha matumbo ya viongozi anzisheni radio na TV zenu labda ila akili hizo hamna.
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.

Unaongelea watanzania gani? Mbona mnapenda kulalamika? nani alikwambia ilikuwa ni lazima habari ya Lema kuoneshwa? Kwa hiyo mnawapangia habari za kuonesha? Kwanini habari zenu zisipo rushwa mnazusha kuwa vituo vimepigwa marufuku?
 
Ndiyo maana hawapendi mitandao wanataka vibaki vyombo vya habari ambavyo vitaficha habari zingine
 
mengi anaogopa kufanyiwa hila na Sizonje Kama afanyiwavyo manji
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
ITV ni chombo cha mtu binafsi kina utaratibu wake unataka wakutangaze lipia vinginevyo ni hiari yao kukutangaza au kuacha
 
Ila kurusha Habari ya lema inataka edit ya kutosha maana kwenye hotuba zake hukosi matusi
 
Tv ina wahariri hawawezi kurusha vijembe, matusi au pumba kwa wateja wake.
 
Katika risk mtu hatoweza kubeba ni kurusha habari za Lema
 
Back
Top Bottom