Muzorewa Kayoza
Member
- Jan 5, 2017
- 19
- 6
ITV imepoteza dira na maana halisi ya Uhuru was habari ktk tasnia hii muhimu..
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Halafu nimekumbuka, hivi walilipa ile mishahara ya mwezi Januari?.

Habari ya umuhimu unaijua wewe???Muda wa kutangaza habari ni lisaa tu na wao walitangaza habari zenye umuhimu tu
Mungu akusamehe sana!Uundeni TV ya kwenu itakayokuwa inaonyesha wauza unga wakifanya mikutano.
TV za wengine hawako tayari kuharibu brand zao
Habari ya Lema ndo ingeongeza muda mpaka kufikia masaa 5?Unataka wakutangazie kila kitu si hiyo habari itachukua 5hrs?
Yana mwisho dogo! Tulizuiwa mikutano na watukufu.Andamaneni tu wataonyesha
Huyu Wema kuhama chama imewaumiza sana.Mlipewa pesa mkafungulie kituo cha televishen hamkufanya hivyo badala yake mwenyekiti wenu akaenda kutanua dubai sasa leo mnalalama. Huko ndo mngekuwa mnatengeneza madocumentary ya hadi wema akiwa na magwanda kwenye vigodoro mnarusha huko
Azam wako mbali sana. Si wa nchi hii.Super brand ya kimaandazi.
Bora hata Azam.
Hizi kelele mngekuwa mnazipiga kudai ruzuku ya chama mwenyekiti anayotumia kutanua dubai chama kingekuwa mbali sana kingekuwa walau na jengo moja la ofisi nchini kuliko sasa kila mkoa kinapanga kwenye magofuHabari ya Lema ndo ingeongeza muda mpaka kufikia masaa 5?
Bora zenu mnaonesha watu wenye vyeti fambaIlikuwa na maslahi kwa WAKWAWA na hela ya kufungua tv chanel mlitanua dubai msilaumu wenye tv zao acha utoto
No invsetigation no right to speak,,,, tupe ushahidi kua wamekatazwa..
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Hujui kusoma wala kuangalia picha ndugu.Naomba nikunukuu mtoa hoja
"...Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo..."
Nina maswali machache kwako
1.Vilionywa na nani?
2.Nini ingekuwa matokeo ya wao kukaidi onyo hilo?
3.Je vituo vingine vilionyesha taarifa hiyo ya Mh. LEMA?
Mwisho wa siku ITV na vituo vingine ni wafanyabiashara tu. Hawawezi ku risk uwepo wao kwa sababu mtu fulani apate habari.
Nani huwa hata anawasemea wanapopewa adhabu na mamlaka?
Hivi zile muvi za Bashite nazo zilikuwa na faida eeh?Hilo ndio jibu. ITV ipo kutengeneza faida
Ndo maana unaitwa aroonUkawa, acheni upuuzi, anzisheni TV na Radio zenu, kwani RUZUKU MNAPELEKA WAPI? kila siku mnachota ruzuku kwa ajiri ya kesi za kijinga
Bora upange katika magofu na ulipe kodi kulikoni kudaiwa mipesa ile ya umeme!Hizi kelele mngekuwa mnazipiga kudai ruzuku ya chama mwenyekiti anayotumia kutanua dubai chama kingekuwa mbali sana kingekuwa walau na jengo moja la ofisi nchini kuliko sasa kila mkoa kinapanga kwenye magofu
ITV wana uhuru wa kuonyesha habari waipendao kwani sio kituo cha Chadema. Mkutano wa Lema na watu wa Arusha kwa ITV haikuwa habari !!!.
Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.
Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.
ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.
Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Ukiwa mfuasi wa chadema akili zako zinakuwa sawa na za ng'ombe tu.Afadhali ungezaliwa ng'ombe kuliko kuzaliwa na jina la condom!
Kwani nyie mnataka nini hasa?Usiwaze ndugu, ile habari yote tunayo. Teknolojia imekua sana.
Hata mkutano ule kufanyika ni tukio la ushindi dhidi ya watawala waliosema wamezuia siasa.
Mdogo mdogo tutafika. Usikate tamaa.
Kama umefuatilia kwa ukaribu, utagundua kuwa hata serikali yenyewe imeshapoteana.
Hawana vipaumbele. Kila mtu anaongea na kutoa amri zake. Ubabe kila kona.
Mambo ya msingi hayaongelewi.
Hizo ni dalili za taifa lililokosa dira.
Tutaona mengi sana, na bado.
By the way, umesikia gharama za kumpima faru John DNA huko South Africa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwa hiyo Makengeza alienda msibani kwa JK ili atangazwe na ITV sio? Duh! Machadema kweli mnasaka kiki kila kona! Hata misibani mnataka promo!Haha juzi kama ulichek ile habar ya msba kwa jk waliwataja viongozi wote wakubwa walohudhuria isipokuw mbowe