ITV, Mengi to be dealt with soon


Mkuu unalalamika kitendo cha barua kufika JF au yaliyosemwa kwenye hizo barua?

Analysis yako ya hizo barua ni hipi exactly?...zisome alafu tueleze kama mengi anaomba huruma!
Umejiuliza kama TCRA wametuma TBC1 barua kuhusu rostam? Kama jibu ni NO! Je bado Mengi anaomba huruma?
 

I have no doubt kuwa Mengi ndiye anayehusika na hizi barua kufika hapa, je motive yake ni nini ikiwa tayari mawakili wake wana shughulikia hili swala?

So far mambo yako katika hatua za mwanzo, Mengi ana wasiwasi gani gani hadi kutofika kuwaamini mawakili wake?

Je, hawa mawakili wana mshauri vizuri mteja wao?
 
Hujajibu swali langu.
 
ulianza hivi kabla invisible hajaweka hii kitu:
Hakuna hata chembe ya ukweli.

Serikali haiwezi ku-shut down ITV kwa reasons ulizoziweka hapo juu, hazina uzito wowote whatosever.

Labda hii habari ni ya kuchangamsha genge!

ukamtukana mengi kwa makusudi ukiandika neno sh*t (tusi kubwa tu)
Mkandara,
Siasa si hasa, The Mengi you are thinking about will turn to be just like a toilet paper and guess what...? will be dumped and flushed with sh*t.

Akae aangalie biashara zake hayo awaachie akina Silvio Baluccicon.

kuna wengine nao walikuwa hawaamini itv inaweza kufungiwa,,,,,,

Hakuna atakayeifungia ITV. PERIOD

Na wala sijui mnajadiliana nini hasa humu.

Mibongo bwana!
baada ya invisible kuleta hii habari mpya ukaja hivi,,,,

Sikubaliani na hii tabia ya Mengi kuanika hizo barua kwa kutaka kuonewa huruma
sikuelewi mkuu
 
Mimi ningefurahi kama sheria ingetumika pande zote mbili. adhabu inayotolewa ITV iwe sawa kabisa na kwa TBC1. uonevu huu utaendelea mpaka lini????????
 
Prof wenu huyo amepewa shinikizo dogo sana....na akijua wazi kuwa pending issue yake uraia imelalia ikulu...na RA anajua ku ix watendaji,anawafuata live na kuwapa what he real want kudanganya kuwa JK anajua na amebariki yote,unafikiria Prof anaweza call back JK ku confirm?ivyo ndivyo fisadis wanavyopiga bao kumbukeni mkuchika alipofungia gazeti....mwanahalisi...memo ya kuforge toka ikulu...ilitosha kabisa kumpagawisha mkuchika.vyote huwa vyafanyika wakati mkulu akiwa nje.......
 
Je Rostam aliyotangaza TBC1 kuhusu Mengi yalikuwa ya kumjengea reputation? Hii biasness ya wazi inayotuonyesha direction ya nchi yetu. Unless TBC1 ambayo tayari inatajwa kuwa chombo cha habari cha Rostam nayo imeitwa pia. Kama hatuamki sasa inawezekana ikawa too late.
 

Mkuu Mtumishi,

Nimeziona hoja zako lakini labda nikueleze kuwa hoja hizi zinatiririka kwa kadri matukio yanavyobadilika au hoja za nyongeza zinapojitokeza.
Kwa mfano hoja yangu ya kwanza niliitoa wakati thread hii haikuwa na mwelekeo wowote au kitu thabiti cha kutufanya tujiingize katika details. Baada ya kuunganishwa kwa hizo barua hapo juu sitegemei hali ya uchangiaji itabaki kuwa ni ileile la hasha, kuanzia hapo tunajadili yale mapya yaliyojitokeza ambayo hayakuwepo hapo mwanzo. Bahati nzuri maelezo ya kwenye barua yanajieleza kuwa yanayotokea yanaweza kutokea kwenye taasisi yeyote ile. Kutakiwa Mengi?ITV kutoa maelezo ya uvunjaji wa taratibu au sheria si kitu kigeni.
Kwa faida yako na wachangiaji wengine kuwa, hata Mengi alipokuwa mwenyekiti wa baraza la mazingira la taifa (NEMC) aliwahi kuongoza harakati kadhaa ambazo tulionyeshwa kupitia ITV akiamuru viwanda kadhaa kufungwa kwa kukiuka taratibu na sheria zinazohusu utunzaji wa mazingira. Kwa hiyo hili si jambo geni ni la kawaida huzikuta taasisi au kampuni yeyote ile. Kuna watu ambao walikuwa wanalalamika kuwa Mengi anakwenda kufanya kazi kiutendaji ambazo zilitakiwa kufanywa na Mkurugenzi wa NEMC lakini wengine waliona sawa tu ili mradi ametekeleza kazi za NEMC.
Mwisho, sh*t si tusi.
 

Who knows, may be na TBC 1 wamepewa barua kama hiyo. sema tu hawajavujisha kwenye public
 
Who knows, may be na TBC 1 wamepewa barua kama hiyo. sema tu hawajavujisha kwenye public

u really believe thats the case? I stand to be corrected lakini je kuna precedent ya serikali kushtaki any of its institutions? Serikali inazidi kumwongezea mengi washabiki na umaarufu wanapomfungulia kesi za kijinga ambazo atashinda.
 
Who knows, may be na TBC 1 wamepewa barua kama hiyo. sema tu hawajavujisha kwenye public

u really believe thats the case? I stand to be corrected lakini je kuna precedent ya serikali kushtaki any of its institutions? Serikali inazidi kumwongezea mengi washabiki na umaarufu wanapomgungulia kesi za kijinga.

WHY NOT?????? VERY POSSIBLE......
Zipo sana NSSF, TRA dhidi ya mashirika ya serikali kutopeleka michango. TCAA dhidi ya mashirika ya aviation (ya serikali) na suala hapa sio kushitaki nadhani ni kuregulate......(I STAND TO BE CORRECTED TOO)
 
WHY NOT?????? VERY POSSIBLE......
Zipo sana NSSF, TRA dhidi ya mashirika ya serikali kutopeleka michango. TCAA dhidi ya mashirika ya aviation (ya serikali) na suala hapa sio kushitaki nadhani ni kuregulate......(I STAND TO BE CORRECTED TOO)

well leo jumamosi..nadhani by jtatu tujua kama tbc1 wamepelekewa barua...kama tbc1 hawajapewa barua wajue hii kesi mengi kashinda.
 
Mengi aliona hamna wa kumsaidia hivyo akaona aongee na watu wasikie
 

Tusilaumiane.Hawa wahindi noma.Mpaka sasa tumeshashindwa.Kila kitu hapa kwetu cha wahindi.
Wahindi ni watu wajanja sana na wasiri sana.Kwa wale wenzangu mlio ugenini au mliowahi kukaa ungenini mtanielewa .Lazima uwe mjaja ili usurvive ugenini.Ee mbona kama wenyenji wakiwa nyanya watapokea amri toka kwako.Ni asilimia ndogo ya ujanja wa wahindi tunao ujua.
Kila nchi walipo wahindi wanakuwa na serikali yao ndani ya nchi hiyo.Wanakuwa na raisi wao.wanakuwa na mawaziri wao.Sera yao in kulinda maslahi yao.Na hapa mbinu mbalimali kali hutumika kutegemeana na nchi walipo mojawapo ni kuwa na Powerfull local mercernaries.
Kwa hapa afrika wamesoma mind za wenyeji-uwezo na udhaifu wao toka (First class citizens to sixth class citizen)
Daima nguvu yao ni pesa.Wahindi ni watu wabaya sana.Na ni wabaya sana hasa kwetu sisi
Utaelewana na mhindi tu pale utapokubali kuwa second class Citizen na umekubali kununuliwa.
Haya yetu macho.Reginald Mengi hakubali kuwa second class citizen na hataki kununuliwa.The match-Reginald Mengi VS wahindi.The match that is fought in all fronts-known and unknown.
 
Nakushangaa, TBC haiwezi kukemewa kwa kuwa RA aliitisha press conference katika public hotel,
walioenda wameenda waliobaki wamebaki na walioona inafaa kurushwa wakairusha na walioona
haifai kurushwa wakaiacha. Its an event not like Mengi did.

Hii ni Kali, sheria gani inasema hivyo; kwamba waandishi wa habari wata-cover na kuripoti Press Conferences zilizohitishwa mahotelini au MAELEZO tu?
Tafadhali toa rejea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…