ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

Lazima tukubali kuna mikoa iko active na inamatukio meng zaid kuliko mingne

Aisee kuna watu wana maneno. Eti mkoa wa Lindi watu wakiamka then wanarudi kulala. sasa kutakuwa na matukio gani.
 
Nikiripoti kutoka Goma, mimi ni Austeir Malivika, wa ITV.......Live long ITV.
 
...nahisi shetani ndo kasikia kiloo chako...
 
Kuanzishwa kwa Azam na ufunguzi wa studio mpya itakuwa ni raha kwangu baada ya kuishia kulalama sana ITV huku wakiweka pamba masikioni, suala la kuibagua mikoa flani kwenye habari zao na kuibeba mingine kila leo halivumiliki, sielewi ni mmiliki ama ni uongozi lakini mnafanya ubaguzi wa wazi mno.

Haiwezekani habari husika mkoa Fulani haioneshwi makusudi zaidi ya Mara kadhaa wakati tayari inatokea pale chini ya kioo kwa habari ya Sikh hiyo, ni ubaguzi. Kutwa Isidingo na movie?

Angalieni wenyewe kama hamuwezi kutengeneza vipindi vya kijamii kaeni na Wafilipino wenu..

Iwe inafanywa kwa kukusudia au bahati mbaya, Ubaguzi ni dhambi kubwa sana.
 
tunashukuru Azam Tv kuanzishwa lakini wakija na vifaa vya kisasa, lakini kama watakuja na utaratibu kama waliowakuta kama Star Tv, ITV Daima, Chanel 10 basi hakutakuwa na faida yoyote kwa umma.
Star Tv habari za mwanza na kanda ya ziwa zinapewa kipaumbele kuliko za maeneo mengine lakini kwa haraka nahisi kuweka waandishi kila kona ya nchi gharama kubwa.

Tunatarajia Tido Mhando ataleta radha nzuri kwa kuhuisha yale yote aliyotaka kuyafanya TBC, na nilimsikia atakifanya kituo hicho kuwa CNN/BBC ya Tanzania, Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla. Hilo jema kwa watanzania
 
Kuanzishwa kwa Azam na ufunguzi wa studio mpya itakuwa ni raha kwangu baada ya kuishia kulalama sana ITV huku wakiweka pamba masikioni, suala la kuibagua mikoa flani kwenye habari zao na kuibeba mingine kila leo halivumiliki, sielewi ni mmiliki ama ni uongozi lakini mnafanya ubaguzi wa wazi mno.

Haiwezekani habari husika mkoa Fulani haioneshwi makusudi zaidi ya Mara kadhaa wakati tayari inatokea pale chini ya kioo kwa habari ya Sikh hiyo, ni ubaguzi. Kutwa Isidingo na movie?

Angalieni wenyewe kama hamuwezi kutengeneza vipindi vya kijamii kaeni na Wafilipino wenu..
Ni mikoa gani inayobaguliwa? Kwani kwa mtazamo wangu ITV inajitahidi kucover habari za mikoa mbalimbali, hasa kuhusu kero za wananchi.
 
Hauna mantiki chuki binafsi inakutafuna na wewe anzisha yako uwe unatangaza habari uzipendazo.

Sasa mie na wewe Mani ana chuki bnafsi mkuu,tulia soma vizuri unielewe ama kama VIP jipe mda ukusanye data kama nilivyofanya mie naamini IPO Sikh utayaona ila hautakiwi kwenda na bias ndo utapata ukweli ...usikurupuke sana hapa tunatoa ukweli mchungu
 
tunahitaji ushindani sio hivi vyombo vilivyopo vilikuwa doro na kujisahau sana, marekebisho wanayofanya kupaka rangi studio tu na kununua fenicha mpya
 
Hili bandiko lako linanikumbusha watangazaji kama Tumaini Meshack, Anold Lazaro na Mzee Lainfred Masako.
Nakukumbusha hawa watu kama idadi ndogo tu ya wale waliokuwepo mwaka 1994(?) wakati itv inaingia hewani kwa mara ya kwanza ambapo zaidi ya nusu ya wafanyakazi bado wako pale hadi leo.
Hoja hapa ni kwamba walioanzisha itv nia yao haikuwa kushindana na mtu yeyote bali kudeliver kile walichodhani watazamaji wao wanakitaka. Miaka yote hiyo utaratibu wa matangazo karibia 90% ni ule ule haujabadilika (consistent) na facilities wanazotumia kama majengo na miundombinu sio kubwa kihivyo!
Pesa zinaweza kufanya kazi lakini kuna baadhi ya mambo yanashindikana. AZAM bado wana changamoto kubwa maana thamani na ukubwa wa studio inabidi pia uendane na thamani na ubora wa matagazo na vipindi.
 
Kuanzishwa kwa Azam na ufunguzi wa studio mpya itakuwa ni raha kwangu baada ya kuishia kulalama sana ITV huku wakiweka pamba masikioni, suala la kuibagua mikoa flani kwenye habari zao na kuibeba mingine kila leo halivumiliki, sielewi ni mmiliki ama ni uongozi lakini mnafanya ubaguzi wa wazi mno.

Haiwezekani habari husika mkoa Fulani haioneshwi makusudi zaidi ya Mara kadhaa wakati tayari inatokea pale chini ya kioo kwa habari ya Sikh hiyo, ni ubaguzi. Kutwa Isidingo na movie?

Angalieni wenyewe kama hamuwezi kutengeneza vipindi vya kijamii kaeni na Wafilipino wenu..

Rweye sijaona hoja yako ya msingi kabisa!
Hivi unafikiri Azam Tv imeanza kuonekana leo? Kilicho fanyika ni uzinduzi wa studio za kisasa kabisa lakini Azam Tv inaonekana kitambo sema sababu si channel kati ya zile Tano za muhimu labda waiweke!

Kusema kweli sijawai kuona huo ubaguzi unao uongelea hapa kabisa na tunatakiwa kujua si lazima ITV wareport kila habari na muda hauwezi kitosha..kwani channel zingine kama walionesha kuna tatizo gani? Kwani habari hufanana kila channell? Kama sehemu fulani likitokea tukio wasilichukue kwa kuwa ni mkoa fulani?

Kwakweli sijaona hoja yako?
 
Last edited by a moderator:
Azam watuwekee Tb joshua na vipindi vya kwaya
 
Hili bandiko lako linanikumbusha watangazaji kama Tumaini Meshack, Anold Lazaro na Mzee Lainfred Masako.
Nakukumbusha hawa watu kama idadi ndogo tu ya wale waliokuwepo mwaka 1994(?) wakati itv inaingia hewani kwa mara ya kwanza ambapo zaidi ya nusu ya wafanyakazi bado wako pale hadi leo.
Hoja hapa ni kwamba walioanzisha itv nia yao haikuwa kushindana na mtu yeyote bali kudeliver kile walichodhani watazamaji wao wanakitaka. Miaka yote hiyo utaratibu wa matangazo karibia 90% ni ule ule haujabadilika (consistent) na facilities wanazotumia kama majengo na miundombinu sio kubwa kihivyo!
Pesa zinaweza kufanya kazi lakini kuna baadhi ya mambo yanashindikana. AZAM bado wana changamoto kubwa maana thamani na ukubwa wa studio inabidi pia uendane na thamani na ubora wa matagazo na vipindi.

Na Mh Rais alisisitiza sana kuwa lazima kuwepo na ubunifu na watangazaji wenye weledi ndio italeta maana .
 
Kwa yoyote atakae idharahu ITV huwenda hana akili sawa,
Mbali ya kufika hapo azamu dishi iliwaitaji ITV NA ITV ILIWAHITAJI SANA AZAMU DISH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom