ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

Kuanzishwa kwa Azam na ufunguzi wa studio mpya itakuwa ni raha kwangu baada ya kuishia kulalama sana ITV huku wakiweka pamba masikioni, suala LA kuibagua mikoa flani kwenye habari zao na kuibeba mingine kila leo halivumiliki, sielewi ni mmiliki ama ni uongozi lakini mnafanya ubaguzi wa wazi mno.

Haiwezekani habari husika mkoa Fulani haioneshwi makusudi zaidi ya Mara kadhaa wakati tayari inatokea pale chini ya kioo kwa habari ya Sikh hiyo,ni ubaguzi. Kutwa isidingo na movie? Angalieni wenyewe kama hamuwezi kutengeneza vipindi vya kijamii kaeni na wafilipino wenu

Katika vipindi vyote vinavyorusha na ITV umeona Isidingo peke yake. Kwani hakuna tv ya taifa? Mbona huangalii hiuo? Kwani hakuna Startv na Chten? Mbona huangalii hizo kama zinatangaaa mkoa wako? Una chuki binafsi na ITV. Jiulize chuki hiyo inachagizwa na nini?
 
Kuanzishwa kwa Azam na ufunguzi wa studio mpya itakuwa ni raha kwangu baada ya kuishia kulalama sana ITV huku wakiweka pamba masikioni, suala LA kuibagua mikoa flani kwenye habari zao na kuibeba mingine kila leo halivumiliki, sielewi ni mmiliki ama ni uongozi lakini mnafanya ubaguzi wa wazi mno.

Haiwezekani habari husika mkoa Fulani haioneshwi makusudi zaidi ya Mara kadhaa wakati tayari inatokea pale chini ya kioo kwa habari ya Sikh hiyo,ni ubaguzi. Kutwa isidingo na movie? Angalieni wenyewe kama hamuwezi kutengeneza vipindi vya kijamii kaeni na wafilipino wenu

Kwani wewe taaluma yako ni journalist? Anzisha media urushe habari zisizo na tija kwa media yako
 
ni dhairi ujinga umejaa kichwani kwako, udini na ukabila ni umaskin wako wa fikra.
 
"Ndg Mushi wa kilaracha anasikitika kutangasa kifo ndg Macha wa Rombo, habari ziwafikie, Chuwa, Tarimo, Shayo, Lema, Aikaeli, Manka, Kekuu, Haika, na Mareale wote wanapatikana Kilimanjaro na Arusha" na ndg walioko Kimara bucha dsm.

Ulishapeleka tangazo lako lisitangazwe? Hivi ni kwa nini baadhi ya watu wanachuki sana na Wachagga? Unataka ndugu wa marehemu wawatangazie wayu wasiohusika? Little education is the main problem in this country. Halafu mtu anapost kitu kama hiki anajiita great thinker. Shame.
 
Mleta mada subiri senene na nzige watande ndipo ITV wafuate habari
 
Sikiliza radio one matangazo ya vifo utajua radio ya wapi hiyo,

Umeshasikiliza matangazo ya vifo ya RFA? watu hawezi kupeleka matangazo sehemu ambako hiyo radio haisikiki au hakuna muhusika wa kutangaziwa, tofautisha tangazo la kifo na tangazo la biashara.
 
Tangu nizaliwe, sijaskia tangazo la kifo kutoka kwa mtu asiye na asili ya Moshi/Arusha/Manyara.

Kuna ushahidi kuwa hupelekewa matangazo ya vifo kutoka mikoa mingine yakakataliwa? Me naamini ni pesa yako tuu. Watu wa kaskazini na Dar wamefanya misiba kama sherehe na hutumia gharama kubwa mno!
 
"Ndg Mushi wa kilaracha anasikitika kutangasa kifo ndg Macha wa Rombo, habari ziwafikie, Chuwa, Tarimo, Shayo, Lema, Aikaeli, Manka, Kekuu, Haika, na Mareale wote wanapatikana Kilimanjaro na Arusha" na ndg walioko Kimara bucha dsm.

kwi kwi kwi kwi kwi,JF raha sana acha nijipumzishe bhana.
 
Attachments

  • 1425710539457.jpg
    1425710539457.jpg
    33.3 KB · Views: 509
"Ndg Mushi wa kilaracha anasikitika kutangasa kifo ndg Macha wa Rombo, habari ziwafikie, Chuwa, Tarimo, Shayo, Lema, Aikaeli, Manka, Kekuu, Haika, na Mareale wote wanapatikana Kilimanjaro na Arusha" na ndg walioko Kimara bucha dsm.

Watu mna maneno!!! Hahahaaa ..uuuuiiii ...japo wanatangaza kadiri walivyo pokea ..
 
Yaani huyu jamaa vtuo vya tv kwake ni viwil tu!! ITV&AZAM ni ajabu tena ni mtumwa wa mawazo pole sana
 
Kuna ukweli fulani juu ya hili, tangu niijue Radio One sijawahi kusikiliza taarifa yao ya habari kusiwepo na habari toka Kilimanjaro....kuna haja ya kujitathimini upya ktk ulimwengu huu wa ushindani???
 
Mleta mada mpaka sasa umejiridhisha kwamba umesukumwa na chuki.
Hivi watanzania nani aliye tuloga? Television na radio zinazoendeshwa kwa kodi yako unafurahishwa na matangazo yake? Ningekushukuru sana kama ungelalamikia vipindi vya hovyo na matangazo au habari za UPENDELEO, USIRI na UONGO WA WAZI vinavyo rushwa na vituo vinavyo tafuna kodi yako nami, badirika! Vinginevyo una chuki binafsi su maslahi ya kibiashara na ITV. Kama ulivyo ambiwa na wana jamvi wengine, Subiri katuni na nyimbo za wenyewe hao ulio wasifia.
 
Ulishapeleka tangazo lako lisitangazwe? Hivi ni kwa nini baadhi ya watu wanachuki sana na Wachagga? Unataka ndugu wa marehemu wawatangazie wayu wasiohusika? Little education is the main problem in this country. Halafu mtu anapost kitu kama hiki anajiita great thinker. Shame.

Kwa nini?
 
Kuna ushahidi kuwa hupelekewa matangazo ya vifo kutoka mikoa mingine yakakataliwa? Me naamini ni pesa yako tuu. Watu wa kaskazini na Dar wamefanya misiba kama sherehe na hutumia gharama kubwa mno!

Aisee, mangi, kumbe hata Masawe akifa ni sherehe atii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom