Tayari mnawapangia watz marafiki?Si mlisema Arfi asipangiwe marafiki..?Uongo mtupu ukweli ni kwamba hakuna soko tena .. Na kesho ndo utaona hata dk 2 nyingi watakayotoa. Mengi hakujua ile picha yake na Lau Masha itavuja .. sasa jasho linamtoka!
Ila ni vizuri...kwani angalau watu wasiotaka sikiliza habari za maccm wapate news ,kisha wamalizie na MGENI RASMI ndipo wataweza pata linganisha na kuona jinsi gani mgeni rasmi anaperform.Ki ukweli hata wauza magazeti ukiwaangaliwa tuu wanakuchaguliwa magazeti yenye Mafuriko juu..hawawezi kupa mengine hata km hawakujui.ITV kuweni wazalendo wa kweli ni chanel pekee ambayo tulitegemea sana sasa kama pia mmeanza usaliti huu mapema plz jirekebisheni mimi pia nimeliona hilo acheni kukifanyia kazi chama tawala
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Wanafiki nyie mnataka kumwingiza Mengi machakani.ITV kuweni wazalendo wa kweli ni chanel pekee ambayo tulitegemea sana sasa kama pia mmeanza usaliti huu mapema plz jirekebisheni mimi pia nimeliona hilo acheni kukifanyia kazi chama tawala
Anziaha Tv yenu na hilo fisadi lenu.
Hapana msilaumu sana ITV ilipiga vitosho vya kufungiwa juzi kama uliona waliambiwa wakanushe habar 1 ndani ya siku 3
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Anziaha Tv yenu na hilo fisadi lenu.
Anziaha Tv yenu na hilo fisadi lenu.
kwa mfano hii sehemu niliyo kwa sasa ukisoma taarifa ya UKAWA ikiisha tu watu wote wanaondoka...we unategemea nini mi naona wako sawa....hawa hawajanunuliwa na kama wasipo isoma itakuwa ni tatizo pia kwao.
Mleta maada una maada nyepesi sana maana kama wanatangaza ila mwishoni