ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

Watangazaji walioanza nao wakiwemo Faudhiat Abood, Suzan Mongi (akiitwa Suzan Lukindo wakati huo), Charles Hilal, Julius Nyaisanga (R.I.P), Mickadad Mahmoud, Anorld Lazaro, Oscar Sonje, Bujaga Izengo Kadago, Aunt Tumaini (Kipindi Cha Watoto Wetu), Asma Basafah (kipindi Cha Afya ya Jamii Kila j3 saa Moja jioni), Belinda Mringo (Kipindi Cha ANA Kwa ANA), Joyce Mhavile (jarida la wanawake), Othman Njaidi. Baadae wakaja akina Asha Mtwangi, Laura George, Hadija Zangira (R I.P).
Msimu wangu wa kwanza kuona WORLD CUP 1994 kupitia ITV ikifanyika USA.
 
John Cena wa Juzi... Mieleka enzi hizo Tunawacheki wakina Hulk HOgani ndio wababe wa Mieleka wa wakati huo

Kaole Sanaa Group walishika nchi... Kina Kibakuli....

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Akina Lux Ruger, Chris's Jericho, Chriss Benoit, Danny Malenko, Kundi la New World Order (NWO) akina Konan, Scott Lee, etc. Giant, Booker T etc.
 
Hizi tamdhilia zikivuta hisia za wengi zilikuwabna mvuto wa kipekee naamini Hata Leo zikionyeshwa zifatunika tamdhilia zote za azam
 
Akina Lux Ruger, Chris's Jericho, Chriss Benoit, Danny Malenko, Kundi la New World Order (NWO) akina Konan, Scott Lee, etc. Giant, Booker T etc.
Asante sana mdau. Vipindi vya muziki vya ITV mwaka 1994-1996
J3 MUZIKI KASS KASS (muziki ya Congo)
J4 RAP EM
J5 R&B
ALH Jam Derick
IJUMAA: MUZIKI MUZIKI
JMOSI: JILIWAZE
Aisee unatisha sana una kumbukumbu zaidi ya computer Mkuu
 
Nimeangalia sana Mapambano ya Tyson tunaamka saa 10 alfajiri kwenda kuangalia kama 4km hivi kulikuwa na kama Bar hivi ,Tyson anamng'ata Evander Holyfield.

Nimeangalia sana Tamthilia ya Passion.

Bishanga Bashaija na kina Aisha.----Nyota Ensamble Rich Rich na Monalisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…