Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 625
- 1,334
Wewe unaitwa Rino Lenzi?
Ukisikiliza Radio One mpaka kesho mida ya mchana hua wanapiga Jingle ya hio tamthlia, kila tamthlia inapoanza Jamaa Lino alikua anatembea kwenye bonge moja la PikiPiki amejitanua alafu kuna kale kajingle kanapiga, alikua mbabe kwenye ile tamthlia, uki Google haiji maana ni ya zamani, sijajua kwa nini
Ndio hio sasa, Mimi nakumbuka jina Rino Lenz tuNilijaribu kufatilia
Ni Reno Raines
Jina la series ni Renegade
Asante xana , BossNdio hio sasa, Mimi nakumbuka jina Rino Lenz tu
Kulikua na vibanda/maduka wanayokodisha hiyo mikanda.Enzi hizo hakuna flash wala CD, video mnaangalia kwa kutumia mikanda inataka kufanana na biblia
Ilikuwa buku broKulikua na vibanda/maduka wanayokodisha hiyo mikanda.
Sikumbuki ilikia bei gani ila ulikua unaukodi kwa usiku mmoja then unarudisha(uaminifu ulikua mkubwa mno miaka hiyo)
Kulikuwa na Mzee Small na Bi Chau pamoja na Onyango inaitwa cheka na CTNMsisahau CTN imetutoa mbali na tamthilia za Kunta Kinte! [emoji28]
AiseeTujikumbushe lile tukio la mbeya ilikuwa 96-97
"mwenye kikombe Aya,mwenye dumu Aya,kila mtu alibeba mafuta ajuwavo basi mwengine kaingia na tamaa kuchukua betri ndipo moto ukawaka "
Mbeya ili tukio
View attachment 2477761
Sidhani mzee maana buku la 2000's si sawa na buku la saivi mzee.Ilikuwa buku bro
Let your finger do the walking!Yellow Page.
Mpira wa miguu wa nje bila malipo wakijiunga na CFI channelKampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Daaahh! Good old dayschannel ten alijitaidi sana kwenye cartoon za watoto
kupitia cartoon network series miaka 90'sView attachment 2477744
View attachment 2477745
Pwagu na pwaguzi upo TBC Taifa mpaka leo!Zamani kulikuwa na mchezo wa radio pwagu na pwaguzi, mzee jangala , dulla rich sijui kama bado yapo hayo mambo ila tulii enjoy.
)journey to the westKuna ile movie ya nyani itv saa nne asubuhi inaitwaje
Rehema. Kuna wakati alikua kibosile Vodacom.Yupi huyo ni Shyrose Bhanji au yule mwenye mwanya mzuri alikuwa naitwa Neema kama sikosei?
Rehema si mweusi yule?Rehema. Kuna wakati alikua kibosile Vodacom.
Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Seki yupo wasafi sasa hivi kwenye kipindi cha mgahawa na baba levo, kile kipindi chake chanel 5 nadhani kilikua kinaitwa city soundSeki bwana yupo wapi?
Kile kipindi chake cha mtaani mara kala miwa ya barabarani, mara kahoji watu chanzo cha jina la mtaa wa KAWE kumbe ni - Cow Way
Mara kahoji madeni wakaleee wa Jangwani..
Nipo Kijijini kwa mwenyekiti wa kijiji ndo mwenye Tv nasema moyoni huko Dsm ni Mbingu nyingine sijui kama nitakuja kufika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wapi alipo SEKI wa chanel 5
Dr. Roy Maganga wa R.F.A
Mtoto wa Mama Sabuni wa R.F.A