ITV bakizeni akiba ya ushabiki

Kwa Chombo chochote cha habari kilicho makini, kwa kadri nnavyoelewa, huhabarisha HABARI. Yaani hutangaza/huandika habari INAYOUZA!
 
Mengi anataka JPM asishinde anajua akishinda Muhongo anarudi Nishati na vitalu vyake vitakuwa viko bond
 
Kwenda zako kule

unaona sasa,yan hapo ndo mwisho wako wa kufikiri?ukawa ndomana mnashindwa na kijana kama polepole kwasababu mda mwingi mnatumia kukejel,kukashfu na kutukana instead ya kujenga hoja.
 
unaona sasa,yan hapo ndo mwisho wako wa kufikiri?ukawa ndomana mnashindwa na kijana kama polepole kwasababu mda mwingi mnatumia kukejel,kukashfu na kutukana instead ya kujenga hoja.

Mbona unakuwa kama mnyama yupo kwenye joto?kama unaona sijengi hoja yanini kuendelea kuweweseka na kumbwelambwela?
 
Hii ITV inatumika,hasa ikizingatiwa mmiliki wake anataka vitalu vya gesi huko mtwara,na kuna mkono wa wafanyabiashara wanao mfadhili Lowasa Mengi akiwemo
 
Nadhani tuna redio ya taifa ambayo inatakiwa isiwe biased na upande wowote.since that is not happening there ni heri wenye vituo vyao waonyeshe intrest zao pia kusawazisha
 
Kwa mara ya kwanza uchaguzi wa mwaka huu ccm ndo watakuwa wa kwanza kwenda mahakamani kupinga matokeo.
 
kama we gamba angalia TBCCM Inatosha,na soma gazeti la uhuru..ujifariji.
 
Kwa mara ya kwanza uchaguzi wa mwaka huu ccm ndo watakuwa wa kwanza kwenda mahakamani kupinga matokeo.

Ha ha ha.. Kwa sheria gani Mkuu wakati waliikataa rasimu ya Warioba, ambayo ilikuwa inatoa haki kupinga matokeo mahakamani, wakidhani watabaki madarakani milele..!
 
Pumbavu sana... TBC wanavyorusha mapungufu tu ya UKAWA we huoni sio
 
unaona sasa,yan hapo ndo mwisho wako wa kufikiri?ukawa ndomana mnashindwa na kijana kama polepole kwasababu mda mwingi mnatumia kukejel,kukashfu na kutukana instead ya kujenga hoja.

Wana kiwanda cha mitusi hao ukawa.
 
Ha ha ha.. Kwa sheria gani Mkuu wakati waliikataa rasimu ya Warioba, ambayo ilikuwa inatoa haki kupinga matokeo mahakamani, wakidhani watabaki madarakani milele..!

Kwani Lowasa aliikubali rasimu ya katiba ya Warioba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…