ITV bakizeni akiba ya ushabiki

ITV bakizeni akiba ya ushabiki

rallphryder

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
3,630
Reaction score
1,444
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
 
Ha ha ha.. Yaani unanikumbusha chako changu na changu changu lol..! Juu ya kuwapiga biti wasizipe nafasi ya mwanzo habari za Ukawa bado hamjaridhika tuu..! Wanatoa sasa habari zenu kila mara ili mpate publicity bado mnalalamika..!

BTW mna kituo chenu cha utangazaji cha Tbccm ambacho kinafanya kazi nzuri sana na slogan yake ya ukweli na uwazi..
 
Peleka ujinga wako huko,ulitaka waonyeshe ugomvi wa wazazi wako??magamba mmekwishaaa nyinyi

Kaka mi sio mjinga. Hivi kwa nini nyie chadema mna matusi namna hii!? Huko Sikonge chadema toka asubuhi wanapasuana wao wanaongelea habari za mabibo tu!
 
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa chadema na ukawa bila kificho, mfano migogoro ya chadema ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule ccm wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.

Ngojea Magufuli Achukue Nchi Tuone Hiyo Media Kama Itakuwepo Tena Tanzania Kudadadeki. Ngoja Wajidanganye Kuwa Rais Ni Lowassa Wao Wakati Wanamume Jana Tayari Tumeshamaliza Kupanga Safu Nzima Ya Baraza Lake La Kwanza La Mawaziri Na Kesho Tunamalizia Kupanga Wakuu Wake Wapya Wa Mikoa Na Wilaya Na Ijumaa Tunamaliza Na Mabalozi Na Wakurugenzi Mbalimbali Wa Taasisi Zetu Muhimu Na Nyeti Ili Jumapili Tukianza Mziki Pale Jangwani Kila Kitu Kiwe Kipo Tayari. Hakuna Raha Na Utamu Kama Kuipenda CCM. Tuvumiliane Tu Wajameni!
 
Ha ha ha.. Yaani unanikumbusha chako changu na changu changu lol..! Juu ya kuwapiga biti wasizipe nafasi ya mwanzo habari za Ukawa bado hamjaridhika tuu..! Wanatoa sasa habari zenu kila mara ili mpate publicity bado mnalalamika..!

BTW mna kituo chenu cha utangazaji cha Tbccm ambacho kinafanya kazi nzuri sana na slogan yake ya ukweli na uwazi..

Kila anayesema ukweli kwenu ni ccm tu! Hivi lini mtakubali kushauriwa?
 
Bahati Mbaya Mengi hajawahi kumuunga Mkono Mgombea Urais akashinda labda mara hii ndo itokee. Alianza 1995 Kwa Cleopa David Msuya, 2005 akahamia kwa Frederick Tluway Sumaye, 2010 akahamia kwa Dr.Wilbroad Peter Slaa. Mwaka huu Kaamua amuunge Mkono Mgombea wa Rostam kwa Rostam hajawahi kukosea kuchagua kwny Chaguo lake. Rostam ni Nyerere wa Zama hizi kwn Mbio za Urais
 
Sikonge tulikua hatuna hata mtandao jimbo lilikuwa 100% la ccm ila kwa sasa jimbo jeupee wanaondamana wamepewa pesa na mgombea wa ccm anamuogopa mkumba.....maandamano gani hata bendera ya chadema haipoo
 
TBC Ndio TV ya TAIFA Walalamikie Hao. ITV ni ya Mtu Binafsi Anaweza Kuamua Hata Siku Nzima Hasirushe Matangazo Na Usimfanye Lolote. TBC ndio Wanatumia Kodi za Watanzania.
 
Ngojea Magufuli Achukue Nchi Tuone Hiyo Media Kama Itakuwepo Tena Tanzania Kudadadeki. Ngoja Wajidanganye Kuwa Rais Ni Lowassa Wao Wakati Wanamume Jana Tayari Tumeshamaliza Kupanga Safu Nzima Ya Baraza Lake La Kwanza La Mawaziri Na Kesho Tunamalizia Kupanga Wakuu Wake Wapya Wa Mikoa Na Wilaya Na Ijumaa Tunamaliza Na Mabalozi Na Wakurugenzi Mbalimbali Wa Taasisi Zetu Muhimu Na Nyeti Ili Jumapili Tukianza Mziki Pale Jangwani Kila Kitu Kiwe Kipo Tayari. Hakuna Raha Na Utamu Kama Kuipenda CCM. Tuvumiliane Tu Wajameni!
Mtu anayeipenda ccm inabidi apimwe akili. Simchukii Magufuli but naichukia ccm
 
Kaka mi sio mjinga. Hivi kwa nini nyie chadema mna matusi namna hii!? Huko Sikonge chadema toka asubuhi wanapasuana wao wanaongelea habari za mabibo tu!

Yaani kuambiwa mjinga ni tusi? Ujinga ni hali ya kutokujua mambo, kuwa mbumbumbu. Hujui kuendesha gari wewe ni mjinga wa eneo hilo. Acha ujinga, sawa?
 
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa chadema na ukawa bila kificho, mfano migogoro ya chadema ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule ccm wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.

Kwahiyo Wewe Umejipangaje??
 
Sio Itv peke yake hata nipashe ni tatizo wanaandika unazi tupu
 
Back
Top Bottom