ITV acheni Kuichakachua CUF!!!!

Hivi ni kwanini ITV inapoonyesha mkutano wa CUF Kamera zao huwa hawaonyeshi kwa uhalisia wa tukio halisi lilivyo ni miaka 2 sasa ninapoangalia kamera ya ITV katika mkutano wa CUF huwa inapelekwa sehemu ambayo haina watu au kamera humuonyesha mgombea pekee, mfano leo katika mkutano kata ya mkinga Kamera inaonyesha watu wanaokimbilia kuja mkutanoni, hii inafanyika kwa faida ya nani? na ili iweje? baadaye iwe nini? Jirekebisheni ITV vinginevyo wanainchi wataisusa.

wewe ni nani kutusemea sisi wananchi?? anyway kaf ​ HAKIPENDWI, ivyo wananchi hatujali... sisiemu B-- mkafie mbali
 
Nyie cuf mnaongea nini..cuf + magamba lao.. moja, si mmefunga nao ndoa huko zenji.
 
Back
Top Bottom