Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,066
Sasa si kasusa menyewe.... sie twala kwa raha zetu...aende idadi ipungue.
Jamani Remmy,mwonee huruma Amyner,anachohitaji kwa sasa ni tender love and care.
Sasa si kasusa menyewe.... sie twala kwa raha zetu...aende idadi ipungue.
Hyo ni nafasi ya pekee. Silazi damu kamwe
Jamani Remmy,mwonee huruma Amyner,anachohitaji kwa sasa ni tender love and care.
Kama love kapata, yuko Nicas Mtei, yuko Baba V nini tena tumpe. how comes nitamwombea my opponent mema.
Otherwise Shem mi n'shakuelewa umeanzisha hii Kamba ili uwajue wachawi wako! Yaani wale (vilafi at works!)
inshot ushawajua endelea Kusosoa Bata na 52!
Mamiy kula supu, na Hubby wako Shem, haachiwi ..... Yeyote bucha.

MAMA YYANGU!
Shemeji yangu katika acting MZAHA umewahi kuufanya huu nakuma TROPHY!
Awali nikadhani leo 01 APRIL !
Kumbe sio.
Nikalazimika nireviw CHITCHAT definition labda meanin' imebadilika, nakuta iko vilevile "TALK SOCIALLY WITHOUT EXCHANGIN' TOO MUCH INFORMATION, IT'S A LIGHT TALKS , & NOT HARD TALKS"
baada ya kusema hayo nirudi kwa Erick52 kwamba kwa mtiririko wake wote at Zinduna talk Show yuko nje na umaana wa Chtcht?
Hii naomba uijibu Shem Amy personal, mi sijakuelewa !
Au uniambie na wewe uko kiChtCht kwenye Uzi huu.
Hivi we konnie unasemaje? Yani bishanga na mibusara yake unamzarau?
hee! baba VERO!
Mzee nani vile.
kuna tofauti kati ya busara na mzee wa busara wa Juma Nature.