Ni kweli Kongosho huyu BADILI TABIA anafanya makusudi kabisa..Amyner ushinde moyo
Wapo wataokukosanisha makusudi kama BT anavyonifanyia kwa hani wangu
Ukute hata Erick hakufanya la ajabu basi tu
Kikawakuna washaku
Mie hata nimkute guesti mwaka huu simwachi ng'o
Amy,'the weak never forgives,the strong always do'.
owkey Bishanga,nimeelewa..nice chit chat..lkn mmh yataka ustahimilivu kwa tusojua utani kama mie..
owkey Bishanga,nimeelewa..nice chit chat..lkn mmh yataka ustahimilivu kwa tusojua utani kama mie..
Hahahahaamh! hupendi nini na uko wapi? enewei kajaribu kuibadilisha jukwaa la siasa kwa kuweka news za chit chat... halafu uone zawadi yake! rahaaa
Mwache mwenzio mbona BT mgomvi aisee