Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
the HAGUE sidhani ka ataiona mana wadhungu wanampenda kweli huyu jamaa.
Hata Gadafi walimpenda.
the HAGUE sidhani ka ataiona mana wadhungu wanampenda kweli huyu jamaa.
Hapana. Gadafi baada ya Pan am hakupendwa kabisa na western countries. Walimstahi tu mpaka wakati wa kumtimua ulipofika.
Hata Gadafi walimpenda.
the HAGUE sidhani ka ataiona mana wadhungu wanampenda kweli huyu jamaa.
Atupe detailed breakdown! Nadhani Hizo ni speculations tu! Tunataka ushahidi wa kutosha ili tumwamini!. Siyo 'personal vendetta?!
Four Rwandan ex-top officials handed jail terms
(AFP) – Jan 14, 2011
KIGALI - A Rwandan military court on Friday handed jail terms of between 20 and 24 years to four former comrades-in-arms of President Paul Kagame, tried in absentia for threatening state security.
"The Military High Court has sentenced to 24 years in prison the former army chief of staff General Faustin Kayumba Nyamwasa and Major Theogene Rudasingwa," a court official said.
Former spy chief Patrick Karegeya and Gerald Gahima, the former attorney general and Rudasingwa's brother "were both handed terms of 20 years", the official said, asking not to be identified.
Nyamwasa and Karegeya are in exile in South Africa while Gahima and Rudasingwa are exiled in the United States.
The four were being prosecuted for "disturbing public order, threatening state security, making insulting and defamatory remarks, sectarianism and criminal conspiracy."
Nyamwasa and Rudasingwa were also charged with desertion from the army. Karegeya and Gahima were tried as civilians. Under Rwandan law if military personnel conspire with civilians to commit a crime, the civilians are also tried in a military court.
Rwanda's military spokesman Lieutenant-Colonel Jill Rutaremara told AFP that further charges against the four will follow......
.....ugomvi wao umeanza siku nyingi na accusation nyingi back & forth,this is not new is just one out of many
Hapana. Gadafi baada ya Pan am hakupendwa kabisa na western countries. Walimstahi tu mpaka wakati wa kumtimua ulipofika.
Koba,
Thanks. Nashindwa kuelewa kama kweli Kagame alipanga mauaji ya Habyarimana, alikuwa na mpango gani wa plan B? Kwa sababu ni usiku huo huo au kesho yake asubuhi Watutsi na Wahutu wenye siasa za kadiri walianza kuchinjwa kama mbuzi. Matayarisho ya mauaji hayo yalikuwa yameshafanyika kitambo kama ilivyobainika baadaye. Sasa iweje, Kagame, ambaye namwona kuwa great strategist, ashindwe kuchukua mipango ya kuwalinda Watusi wenzake baada ya mauaji hayo? My theory ni kwamba baada ya yale maafikiano waliyofikia Tanzania kwamba RPF itaingizwa kwenye serikali ya ushirika na jeshini, hardliners jeshini hawakukabali na hao ndio walioitungua ndege ya rais wao na kesho yake ku unleash the killings the kind of which we had never seen in our neighborhood. Haingii akilini kwamba Mtusi ambaye ameshaingiza pua yake serikalini amuue rais Habyarimana na ashindwe kuwalinda ndugu zake. That is my theory and I wait for someone to come and debunk it with convincing evidence.
Kwanini sasa wake wa Marais waliouawa sasa wanamshitaki Kagame US? Unajua walikuwa wanaishi Ufaransa; wamehamia US kwa sababu hiyo; lets wait and see hawezi kuacha urais atakabwa koo
oooh boy,huyu si ndio yule Rudasingwa aliyefukuzwa RPF na kina Kagame kwa ajiri ya wizi wa mali ya umma,kaandika mengi tuu all over the net...so much of the breaking news
Haka ka jama siku kanakufa lazima waksukumie kijiti sehemu za siri kama Gadaffi. Mungu hasinzii.
Is peace and prosperity something sustainable in Rwanda? I smell a rotting rat!
Huyu ni mwizi, sasa anataka kujisafisha kwa kujifanya anawapenda wahutu?
oooh boy,huyu si ndio yule rudasingwa aliyefukuzwa rpf na kina kagame kwa ajiri ya wizi wa mali ya umma,kaandika mengi tuu all over the net...so much of the breaking news