Wakumwitu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 370
- 82
Ufaransa wamekuwa wakipiga kelele kuhusu hili lkn upande mwingine wa Dunia wanamuona Kagame ni role model. TUseme ukweli hakuna haki katika Dunia hii. Waliokufa roho zao hazitaaenda bure iko siku zitalipwa tuu. Hata kama atakaa madarakani miaka yote ili aweze kulinda siri yake, iko siku itajulikana na atawajibishwa kwa mujibu wa sheria.
Kuonyesha umwamba na kutokukubaliana na ufaransa ameamua kufuta kifaransa kama lugha ya Taifa na sasa kiingereza kinachukua kasi mpya. Shahidi mbalimbali zimekuwa sikielekeza lawama kubwa kwake kwa kuwa instigator wa Genocide anachokifanya ni kutishia kuifukuza ICTR na hashirikiani nao katika kushughulikia tatizo hilo. Kwa kuwa UN inasikiliza wakubwa basi haina jinsi na kuendelea kuendesha kesi kinafiki tuu, waswahili wanasema bora liende.
Iko siku THIS GUY WILL BE HELD TO ACCOUNT FOR WHAT HE HAS DONE TO RWANDAN PEOPLE

Ni sawa, lakini sasa kinachotakiwa ni hatua rasmi za kutafuta haki na ukweli wa jambo hili!
Otherwise, the Western World should put it clear on its interest and biasness to Paul!