It's Official Paul Kagame Killed President Juvenal Habyarimana

Viva president Kikwete wewe ni mwanaume sana I will appriate you my lovely president, kwa kwenda kumwadabisha kagame mwizi wa dhahabu na mfadhili wa M23 and Viva kabila kwa kumugeuka Kagame kwa makubaliano ya kinafiki aliyokuitia siku zote na hongera sana
 
Spionage system yake ya kuwahonga viongozi wa serikali mbalimbali na kuwatrain wafanyabiashara na kutoa hadi mitaji ya dola milion moja ili afanikishe mauaji mwelezeni hajafanikiwa na mwelezeni pia kuwatumia wanyankole ambao hutumia Passport za Uganda kuja kupeleleza Tanzania huku wakijifanya ni Waganda mwelezeni zimeshajulikana hata wanawake ambao ni maafisa usalama anaowaleta vyuoni mwetu mwelezeni wanafahamika na Kagame ni mbwa mende mkubwa yule
 
Aendelee kuwapa ajira Watusi na wanyankole wenzake ajira nzuri lkn ana siku yake utafanyika uchaguzi huru na haki na atafinyangwa sana
 
Museven anamlea Kagame kwa kua ni Mtusi mwenzie na Museven sio mnyankole hilo kila mtu anajua Mama wa Museven alikuja kuolewa Uganda akiwa amesha muzaa Yoweri ambaye jina la utoto aliitwa Ntamana na watoto waliozaliwa na mzee wa kinyankole ni akina Salim Saleh ambaye yeye nae yupo jeshini mwelezeni amlee tu cku yao ipo.
 
Arovera,

Mbona unamchukia sana Kagame na wa-Tutsi kwa ujumla? Walikukosea nini? Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. Unadai kuwa ni m-Hutu, sawa lakini si sababu ya wewe kuwa na chuki kwa Kagame. Mbona kuna Hutu wengi sana wanamkubali na kumpenda Rais Kagame kwa uongozi imara usioendekeza makundi nchini Rwanda. Nakushauri ufuate nyayo za vijana kama Hon. Edouard Bamporiki. Ni kijana makini sana ambaye amefanikiwa sana katika umri mdogo. Acha chuki ndugu yangu.
 
Aendelee kuwapa ajira Watusi na wanyankole wenzake ajira nzuri lkn ana siku yake utafanyika uchaguzi huru na haki na atafinyangwa sana

Umesema Hutu ni asilimia 80%. Uchaguzi uliopita Rais Kagame alishinda kwa zaidi ya asilimia 90%. Sasa huoni kuwa hii ni ishara ya kukubalika kwake across the board. Ni uchaguzi huru na wa haki ulioshuhudiwa na observers wa ndani na nje. Kagame ana mapungufu yake lakini msipotoshe ukweli kwa kuwa tu mna chuki naye au wa-Tutsi. Karne hii haina nafasi kwa chuki za ki-baguzi.
 
Wapi imeandikwa kuwa ukiwa m-Tanzania lazima ukubaliane na vitu vyote vinavyosema na viongozi? Ndio nyie nyie hamuachi kumtukana Rais kila leo lakini kwa hili la Rwanda mnajifanya kumuunga mkono. Mnaongozwa na chuki dhidi ya Kagame na Tutsi. Acheni hizo.
Funguka munyamulenge aliyejipenyeza na kuingia CCM. Mi nilifikiri huko kwenye misitu ya congo kaka mukubwa.
Tunawajua nyie ni mazombi ya Kagame funguka...........LOL
 
Funguka munyamulenge aliyejipenyeza na kuingia CCM. Mi nilifikiri huko kwenye misitu ya congo kaka mukubwa.
Tunawajua nyie ni mazombi ya Kagame funguka...........LOL

Ha ha ha niambie kubwa la maadui. Naona jamaa zako wanachemsha sasa wanatapatapa. Upo mjini kaka? Au umeshaenda Eastern DRC kuwapa tafu jamaa zako wa FDLR?Kwi kwi kwi
 
Ha ha ha niambie kubwa la maadui. Naona jamaa zako wanachemsha sasa wanatapatapa. Upo mjini kaka? Au umeshaenda Eastern DRC kuwapa tafu jamaa zako wa FDLR?Kwi kwi kwi

Jibu swali mkuu, huko congo? jamaa zako mukamasimba na murutongore siwasikii siku hizi, au nao wamekuwa maadui wa paka. Maana yule ukiaribu kidogo tu, lazima utoke nduki kabla hajakufutilia mbali. Mi niko hapa singida mkuu. we huko bongo? hehehehhe! Funguka basi, andika zile paragraph zako ndefu ndefu jamaa anaweza kukupa kazi RPF ............LOL
 
Dah! aisee there is a lot of conflict of interest in this news.... Yaani Kweli Siasa mchezo mchafu... Najiuliza haya MASWALI...

  1. Alimshikia bango former first lady wa the Late Juvenal Hbyarimana kujibu mashtaka dhidi ya kuchochea mauaji ya halaiki pale Ruanda.... What does this news say to the people of Ruanda na Africa at large??
  2. He has proven to be a Great president.... (atleast in relation with other African leaders) exceptional qualities and changes... Pale inchini, kaweza leta mabadiliko in a short time utafikiri ile massacre sio tu hapo in the 90's imefanyika.... Nini kipimo hapa.. Uraisi matendo??

You are so right. I think ni vitu rwanda wanahitaji kusahau hii. Ila watu wabishi bado wanakijiba cha roho. Ila its true tho its UPDF na RPF ndio walio panga kutungua ndege. Habrymana was advised by Tanzania not to leave the country hakusikia.

The king.
 
Kagame ni muuaji na naisifu TPDF kwa kumwadhibu kupitia M23 , kagame ametufungia mama yetu kisa anashiriki siasa amempa kesi ya uhaini , lakina akae akijua hakuna mhutu hata siku moja atakayemkubalia mtusi popote pale duniani akumbuke pia yeye ni asilimia 20% ya total population ya Rwanda huku muhutu akiwa 80% na manyanyaso vyenye anafanya kwa wahutu kuanzia kwenye ajira na masomo ya nje yanafahamika sana iko siku yake

Its sad about scholarships that are offered to the Tutsis only. I have seen them in USA and all over.

The king.
 
Te te te ukiona hivyo jua anajua kabisa anakaribia ku RIP ndio maana kaamua kumwaga mboga....

Kinachifanya niamini shutuma za PaKa ni kuwa hao wanaozisimulia walikuwa watu wake wa karibu....wa kupika na kupakua....

Na ndio maana atawamaliza otherwise The Hague inamuhusu pindi atokapo madarakani...

Waki rest in peace kutakuwa hakuna ushaidi....

Imagine yule sijuhi Nyamwasa anasema si kwamba yeye ni innocent ila haendi The Hague bila PaKa kwa kuwa alikuwa ndiye mtoa order....

With this confession bado haja RIP tu kama Karegeya??..
 
Hii ID imetengenezwa kumtetea PK...watakuwa walewale....te te te...mtu mmoja ID kumi ili kuwazuga watu kuwa wa Tz wanafurahia unyama wa PK....

Hapa kumejaa uchafu? Rudi kwa mbwa wako kagame punguani mkubwa pana usafi gani kigali ?? Au haujaona miji misafi duniani??
Huna kitanda yani bado unawaza kumiliki kitanda? Kweli utakufa masikin wewe
 
umesema hutu ni asilimia 80%. Uchaguzi uliopita rais kagame alishinda kwa zaidi ya asilimia 90%. Sasa huoni kuwa hii ni ishara ya kukubalika kwake across the board. Ni uchaguzi huru na wa haki ulioshuhudiwa na observers wa ndani na nje. Kagame ana mapungufu yake lakini msipotoshe ukweli kwa kuwa tu mna chuki naye au wa-tutsi. Karne hii haina nafasi kwa chuki za ki-baguzi.

unaongea utumbo,watutsi mikakati yenu imefahamika yakutawala afrika,kagame nihatari kwa karne hii,walipo chukua madaraka aliweka rais chambo,bizimungu baadaye akamtimua,nahapo hapo niyeye kagame alikuwa namadaraka makubwa ya makam wa rais na wazir ulinz
 
Hivi huwezi kuongea bila ya kutumia lugha chafu? Huo mkakati uko wapi? Chuki haijengi ndugu yangu.
 
Wakuu mbona hii letter imekuwa dated 2011? Kwani sasa hivi kuna issue yoyote kuhusu kifo cha Habyarimana na wengine? Nadhani ilishasemwa sana kwenye vyombo vya habari hadi ushahidi Umoja wa mataifa upo, and it is long time public secret now that he ordered the shooting of the plane. But that is not going to change a thing now.
 
The same UN that just sat back and watched a million innocent civilians butchered for being Tutsi or moderate Hutu. The UN has no credibility.
 
The same UN that just sat back and watched a million innocent civilians butchered for being Tutsi or moderate Hutu. The UN has no credibility.

Yes in deed, but that does not change facts. The fact that Genocide was ignited by the downing of the presidential jet, will be the there to stay. The one who did it has blood in his hand, no one is questioning the killing or cause of the killing, but people were questioning whether it was RPF who did it.
 
Back
Top Bottom