It's Official Paul Kagame Killed President Juvenal Habyarimana

Vp Ndugu Mbona Sasa Unajijibu Mwenyewe? Achana Na Kagame Fatilia Ya Nchi Yako. Mnasema Kagame Ameijenga Kigali Kwa Rasilimali Za Congo Kwanini Na Nyie Rais Asifanye Hivyo.
 
Kagame ni jambazi na mporaji wa rasilimali za DRC na kipigo cha M23 ni kipigo kwa Kagame, amejenga nchi au wilaya ya Rwanda maana ile ni wilaya na sio nchi


Vp Ndugu Mbona Sasa Unajijibu Mwenyewe? Achana Na Kagame Fatilia Ya Nchi Yako. Mnasema Kagame Ameijenga Kigali Kwa Rasilimali Za Congo Kwanini Na Nyie Rais Asifanye Hivyo.
 
Kama we mwanaume unakua na majungu hivo nna hakika huna hata kitanda kwako pfuuuuu..
Hapa kwenu tz kumejaa uchafu tu kama muuaji alikuulia dem wako au mama ako...??


Sent from my iPhone
 
Hapa kumejaa uchafu? Rudi kwa mbwa wako kagame punguani mkubwa pana usafi gani kigali ?? Au haujaona miji misafi duniani??
Huna kitanda yani bado unawaza kumiliki kitanda? Kweli utakufa masikin wewe



Kama we mwanaume unakua na majungu hivo nna hakika huna hata kitanda kwako pfuuuuu..
Hapa kwenu tz kumejaa uchafu tu kama muuaji alikuulia dem wako au mama ako...??


Sent from my iPhone
 
Kagame ni jambazi na mporaji wa rasilimali za DRC na kipigo cha M23 ni kipigo kwa Kagame, amejenga nchi au wilaya ya Rwanda maana ile ni wilaya na sio nchi

Haya Yote Ni Hisia, Rwanda Ni Nchi Isengekuwa Nchi Usingekuwa Unaangaika Nayo, Huo Ni Wivu Mwambieni Rais Wenu Na Aende Akapole Naye Aijenge Tanganyika.
 
Nani dogo? Unadhani wote watoto wenzio sio?

Hujioni ulivyo mjinga unarekebishwa unaanza kutoa povu...soma upya taratibu za mchezo kabla hujaamua kujitosa mwanasesere wee!
Kwanza kama hukuruka darasa shule ya msingi unastahili kujua Rwanda ni ni nchi, na kwamba Kagame ni rais wa nchi, na kwamba kama anatuhuma zozote kuna utaratibu wa kuandaa tuhuma husika na namna ya kuziwasilisha tuhuma zenyewe badala ya kuropoka tu maneno yasioyoeleweka!
 
Posted by adminAfrica, Articles, East Africa, News, Rwanda, SpotlightMonday, October 31rd, 2011
Prev 1 2 Next


The plane carrying Rwanda President Juvénal Habyarimana and Burundi President Cyprien Ntaryamira was shot down on April 6, 1994, their assassination sparking the Rwandan Genocide. - Photo: Jean Marc Boujou, AP



Dr. Theogene Rudasingwa took to his Facebook page yesterday and wrote out a powerful and telling confession about the assassination of the late President of Rwanda Juvenal Habyarimana. Dr. Rudasingwa's confession explains in detail how this decision was made and who was involved. This statement, is in its complete and unedited version below. Dr. Rudasingwa said to this writer as to why he wrote this statement, "it is not about a war of words but a battle for the soul of our nation."

Confession
PAUL KAGAME KILLED PRESIDENT JUVENAL HABYARIMANA, PRESIDENT CYPRIEN NTARYAMIRA OF BURUNDI, DEOGRATIAS NSABIMANA, ELIE SAGATWA, THADDEE BAGARAGAZA, JUVENAL RENZAHO, EMMANUEL AKINGENEYE, BERNARD CIZA, CYRIAQUE SIMBIZI, JACKY HERAUD, JEAN PIERRE MINABERRY AND JEAN-MICHEL PERRINE

On August 4, 1993, in Arusha, Tanzania, the Government of Rwanda and the Rwandese Patriotic Front signed the Arusha Peace Agreement. The provisions of the agreement included a commitment to principles of the rule of law, democracy, national unity, pluralism, the respect of fundamental freedoms and the rights of the individual. The agreement further had provisions on power-sharing, formation of one and single National Army and a new National Gendarmerie from forces of the two warring parties; and a definitive solution to the problem of Rwandan refugees.
Rwanda Pres. Juvenal Habyarimana

Rwanda Pres. Juvenal Habyarimana

The death of President Juvenal Habyarimana triggered the start of genocide that targeted Tutsi and Hutu moderates, and the resumption of civil war between RPF and the Government of Rwanda.


On April 6, 1994, at 8:25 p.m., the Falcon 50 jet of the President of the Republic of Rwanda, registration number "9XR-NN", on its return from a summit meeting in DAR-ES-SALAAM, Tanzania, as it was on approach to Kanombe International Airport in KIGALI, Rwanda, was shot down. All on board, including President Juvenal Habyarimana, President Cyprien Ntaryamira of Burundi, their entire entourage and flight crew died.


The death of President Juvenal Habyarimana triggered the start of genocide that targeted Tutsi and Hutu moderates, and the resumption of civil war between RPF and the Government of Rwanda. The RPF's sad and false narrative from that time on has been that Hutu extremists within President Habyarimana's camp shot down the plane to derail the implementation of the Arusha Peace Agreement, and to find a pretext to start the genocide in which over 800,000 Rwandans died in just 100 days. This narrative has become a predominant one in some international circles, among scholars, and in some human rights organizations.


The truth must now be told. Paul Kagame, then overall commander of the Rwandese Patriotic Army, the armed wing of the Rwandese Patriotic Front, was personally responsible for the shooting down of the plane. In July, 1994, Paul Kagame himself, with characteristic callousness and much glee, told me that he was responsible for shooting down the plane. Despite public denials, the fact of Kagame's culpability in this crime is also a public "secret" within RPF and RDF circles. Like many others in the RPF leadership, I enthusiastically sold this deceptive story line, especially to foreigners who by and large came to believe it, even when I knew that Kagame was the culprit in this crime.

The plane carrying Rwanda President Juvénal Habyarimana and Burundi President Cyprien Ntaryamira was shot down on April 6, 1994, their assassination sparking the Rwandan Genocide. - Photo: Jean Marc Boujou, AP

The political and social atmosphere during the period from the signing of the Arusha Accords in August 1993 was highly explosive, and the nation was on edge. By killing President Habyarimana, Paul Kagame introduced a wild card in an already fragile ceasefire and dangerous situation. This created a powerful trigger, escalating to a tipping point towards resumption of the civil war, genocide, and the region-wide destabilization that has devastated the Great Lakes region since then.
Paul Kagame of Rwanda

Current Rwanda Pres. Paul Kagame
Paul Kagame has to be immediately brought to account for this crime and its consequences. First, there is absolutely nothing honorable or heroic in reaching an agreement for peace with a partner, and then stabbing him in the back. Kagame and Habyarimana did not meet on the battlefield on April 6, 1994. If they had, and one of them or both had died, it would have been tragic, but understandable, as a product of the logic of war.

President Habyarimana was returning from a peace summit, and by killing him, Kagame demonstrated the highest form of treachery. Second, Kagame, a Tutsi himself, callously gambled away the lives of innocent Tutsi and moderate Hutu who perished in the genocide. While the killing of President Habyarimana, a Hutu, was not a direct cause of the genocide, it provided a powerful motivation and trigger to those who organized, mobilized and executed the genocide against Tutsi and Hutu moderates. Third, by killing President Habyarimana, Kagame permanently derailed the already fragile Arusha peace process in a dangerous pursuit of absolute power in Rwanda.

Kagame feared the letter and spirit of the Arusha Peace Agreement. As the subsequent turn of events has now shown, Kagame does not believe in the unity of Rwandans, democracy, respect of human rights and other fundamental freedoms, the rule of law, power sharing, integrated and accountable security institutions with a national character, and resolving the problem of refugees once and for all. This is what the Arusha Peace Agreement was all about. That is what is lacking in Rwanda today. Last, but not least, Kagame's and RPF's false narrative, denials, and deceptions have led to partial justice in Rwanda and at the International Criminal Tribunal for Rwanda, thereby undermining prospects for justice for all Rwandan people, reconciliation and healing. The international community has, knowingly or unknowingly, become an accomplice in Kagame's systematic and shameful game of deception.


I was never party to the conspiracy to commit this heinous crime. In fact, I first heard about it on BBC around 1:00 am on April 7, 1994, while I was in Kampala where I had been attending the Pan African Movement conference.

I believe the majority of members of RPF and RPA civilians and combatants, like me, were not party to this murderous conspiracy that was hatched and organized by Paul Kagame and executed on his orders. Nevertheless, I was a Secretary General of the RPF, and a Major in the rebel army, RPA. It is in this regard, within the context of collective responsibility, and a spirit of truth-telling in search of forgiveness and healing, that I would like to say I am deeply sorry about this loss of life, and to ask for forgiveness from the families of Juvenal Habyarimana, Cyprien Ntaryamira, Deogratias Nsabimana, Elie Sagatwa, Thaddee Bagaragaza, Emmanuel Akingeneye, Bernard Ciza, Cyriaque Simbizi, Jacky Heraud, Jean-Pierre Minaberry, and Jean-Michel Perrine.

I also ask for forgiveness from all Rwandan people, in the hope that we must unanimously and categorically reject murder, treachery, lies and conspiracy as political weapons, eradicate impunity once and for all, and work together to build a culture of truth-telling, forgiveness, healing, and the rule of law. I ask for forgiveness from the people of Burundi and France whose leaders and citizens were killed in this crime. Above all, I ask for forgiveness from God for having lied and concealed evil for too long.


In freely telling the truth before God and the Rwandan people, I fully understand the risk I have undertaken, given Paul Kagame's legendary vindictiveness and unquenchable thirst for spilling the blood of Rwandans. It is a shared risk that Rwandans bear daily in their quest for freedom and justice for all. Neither power and fame, nor gold and silver, are the motivation for me in these matters of death that have defined our nation for too long.

Truth cannot wait for tomorrow, because the Rwandan nation is very sick and divided, and cannot rebuild and heal on lies. All Rwandans urgently need truth today. Our individual and collective search for truth will set us free. When we are free, we can freely forgive each other and begin to live fully and heal at last.

Dr. Theogene Rudasingwa
Former: RPF Secretary General, Ambassador of Rwanda to the United States, and Chief of Staff for President Paul Kagame.
E-mail: ngombwa@gmail.com;
Washington, DC. October 31, 2011


Ungejaribu Pia Kutafsiri Ili Wengi Wetu Tusioelewa Hiyo Lugha Tuelewe ILA LEO NITAKUWA Brief Sana UKITAKA KUJUA Kazi AU Umuhimu AU Shughuli Pevu Ya Huyo Kagame Na RPF Yake NAKUSIHI Sana Wewe Na Wapuuzi Wenzio Mnaoishupalia Jamhuri Ya Rwanda Tafuteni Kitabu Cha Author Huyu Gerald Prunier Chenye Title Ya " Rwanda Genocide 1954 and 1994 ". Najua Wengi Wetu Ni Wapashkuna Na Hatuna Utaratibu Wa Kujisomea Na Kufanya Analysis Za Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) Na Hatimaye Kila Kukicha Tunaishupalia Tu Rwanda Na Kagame. Mtafuteni Basi Mtanzania Mnayemwamini ili Aende Akawe Rais Wa Rwanda Mridhike. Please Give Rwanda a Break of this Kind of Nonsense!!!!!!!!!!!!!!!!! Inawezekana Hupishani Upungufu Wa Kama Alionao Huyo Aliyetoa Hiyo Taarifa. Wakati Mkipoteza Muda Na Kagame Wenzenu Westerners Na International Communities Hadi UN Zinamkubali Sana Paul Kagame Na Ana Mengi Ya Kujifunza Haswa Kwa Viongozi Mbalimbali Wa Kitanzania Na Kubwa Zaidi Ni Jinsi Alivyoweza na Anavyoweza Kupambana na Wala Rushwa Na Kuimarisha Uchumi Wa Kipato Cha Wana Rwanda Japo Bado Ana Changamoto Kadhaa Ila Anajitahidi Sana Ukizingatia Hali Ya Insecurity Na Political Instability Iliyokuwepo Rwanda Huko Nyuma. Je Hao Viongozi Wako Wa Kitanzania Unaowaunga Mkono Na Wanaomshupalia Kagame Ni Wasafi Kiuadilifu? au Mpaka Tutaje Mapungufu Ya Kila Mmoja Wao?
 
Kagame na Museven ni moja ya watusi wenye roho mbaya wakiwakilisha watusi wenzao mbwa kama wao

Urakoze Chani Mwana Kwa Matusi Hayo Makubwa Dhidi Ya Watutsi ILA Mbwa Ni Mnyama Mwenye Umuhimu Sana ktk Jamii Zetu Na Kuna Mpaka Mbwa Wa Kipolisi Hapa Hapa Tanzania Ambao Wana Thamani Kubwa Kushinda Hata Uliyonayo Wewe KENGE Na Gharama Zao Tu Za Chakula Kwa Mwezi Pengine Ni Zaidi Hata Ya Mshahara Wako Wa Mwezi. Hivyo Nakusihi Tafuta TUSI Lingine Litakalowaumiza Watutsi ILA Kuwaita Mbwa Ndiyo Umezidi Kuwapaisha Wababe Hao Wa Kivita, Kiutawala Na Kiakili Na Wameweza Kuwaangamiza Hao Waasi Wa INTARAHAMWE na Wahutu Wenye Roho Mbaya Kama Yako.
 
.....accusations kama hizo za kina rudasingwa will work to misinformed,interahamwe ilikuwa ni plan ya Habyarimana na watu wake na at the end walifanikiwa kuua almost a million people,hata ile ndege isingetunguliwa genocide ingetokea tuu maana weapons,machetes,training,list etc tayari vilikuwa in order,hata habyarimana asingekufa theres noway angekuwa free leo na cabinets yake yote military ranks wengi wao sasa wana jail life sentence or on the run...cha ajabu misinformed wa JF or genocide symphasizer wanafikiri genocide ilitokea kwa sababu tuu ndege ilianguka,Habyarimana hakuwa innocent ila alikuwa anaonekana moderate tuu lakini behind the curtain alikuwa anajua na kushiriki plan zote za "FINAL SOLUTION"

Tena Mnanifanya Hadi Nitokwe Na Machozi Kwani Nakumbuka Wakati Hao INTARAHAMWE ( Jamii Ya Kihutu ) Walipokuwa Wanawaua Kwa Kuwakata Mapanga Na Kuwachinja Kwa Mashoka Na Visu Watutsi ILIFIKA MUDA HADI Watutsi Waliokuwa Wanalengwa Kuuwawa WALIKUWA WANACHUKUA HELA na KUWAHONGA Hao WANAMGAMBO WA KIHUTU ( Intarahamwe ) ILI TU WAWAUWE Kwa Kuwapiga Risasi AU Kwa Kutumia Sindano Na Wasiwauwe Kwa KIKATILI Hivyo Na Nakumbuka Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Alipokwenda Rwanda Mara Baada Ya Kagame Kuchukua Utawala Alipopewa Huo Ushuhuda Pale Kanombe International Airport VIP Lounge Mwalimu Alipatwa Na Mshtuko Mkubwa na Aliegemea Kochi Kwa Takribani Dakika 10 Nzima Hadi Physician Wake Na Wale Wa Rwanda Waliporudisha Hali Yake ILA Mwalimu Muda Wote ktk Ziara Ile Alikuwa Ni Mtu tu wa Huzuni Na Muda Mwingi Alikuwa Ni Mtu Wa Kutokwa Na Machozi. Kwa Uthibitisho Zaidi Wa Kitu au Hali Hii Watafuteni Wale Wapambe Wake Wakiongozwa Na Mzee Mkanzabi Watawathibitishieni. Jamani Watutsi WAMETESWA na KUNYANYASIKA Sana Na Mno Na WAHUTU Na Mauaji Dhidi Yao Hayakuanza tu Mwaka 1994 bali Yalikuwepo Tena Mwaka 1954 Na Kidogo Tena Mwaka 1957! Kagame Amefuta Machozi Ya Watutsi na Wale Moderates Hutus.
 
Mkuu nakubaliana nawe kabisa kwa asilimia 100.Kwanini kwanini mauaji ya watusi yaanze muda mfupi tu baada ya ndege kutunguliwa kama haikuwa imepangwa muda mrefu? Halafu hapa inaonekana huyo Rudasingwa ni mnafiki ktk hiyo confession yake kwani ameeleza mambo mengi yalivyoharibika ktk utawala wa Kagema wakati ukweli ni kwamba kulikuwa na matatizo makubwa sana kipindi cha Habyarimana kuliko sasa.

Nani asiyejua kuwa lengo la interahamwe lilikuwa ni kuwafutilia mbali watutsi? RPF walilijua hilo ndio maana wakafanya kile walichoweza kuwakomboa watutsi hivyo sioni sababu yoyote ya kumlaumu Kagame kwa mauaaji ya Habyarimana kwani ndiye aliyekuwa amiri jeshi mkuu.

Kagame ni muuaji tu, hilo halikwepeki, we umeona anatuma watu kwenda mpaka nje ya nchi kuwaua viongozi waliopingana naye,, kifupi ananuka damu.
 
Tena Mnanifanya Hadi Nitokwe Na Machozi Kwani Nakumbuka Wakati Hao INTARAHAMWE ( Jamii Ya Kihutu ) Walipokuwa Wanawaua Kwa Kuwakata Mapanga Na Kuwachinja Kwa Mashoka Na Visu Watutsi ILIFIKA MUDA HADI Watutsi Waliokuwa Wanalengwa Kuuwawa WALIKUWA WANACHUKUA HELA na KUWAHONGA Hao WANAMGAMBO WA KIHUTU ( Intarahamwe ) ILI TU WAWAUWE Kwa Kuwapiga Risasi AU Kwa Kutumia Sindano Na Wasiwauwe Kwa KIKATILI Hivyo Na Nakumbuka Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Alipokwenda Rwanda Mara Baada Ya Kagame Kuchukua Utawala Alipopewa Huo Ushuhuda Pale Kanombe International Airport VIP Lounge Mwalimu Alipatwa Na Mshtuko Mkubwa na Aliegemea Kochi Kwa Takribani Dakika 10 Nzima Hadi Physician Wake Na Wale Wa Rwanda Waliporudisha Hali Yake ILA Mwalimu Muda Wote ktk Ziara Ile Alikuwa Ni Mtu tu wa Huzuni Na Muda Mwingi Alikuwa Ni Mtu Wa Kutokwa Na Machozi. Kwa Uthibitisho Zaidi Wa Kitu au Hali Hii Watafuteni Wale Wapambe Wake Wakiongozwa Na Mzee Mkanzabi Watawathibitishieni. Jamani Watutsi WAMETESWA na KUNYANYASIKA Sana Na Mno Na WAHUTU Na Mauaji Dhidi Yao Hayakuanza tu Mwaka 1994 bali Yalikuwepo Tena Mwaka 1954 Na Kidogo Tena Mwaka 1957! Kagame Amefuta Machozi Ya Watutsi na Wale Moderates Hutus.

Unaongea kwa huruma lakini maneno yako bado yanaonyesha huna amani na wahutu. Suluhisho raisi wetu kashawaambia kaeni pamoja na wapinzani wenu mkubaliane mambo fulani fulani. Ili kila mmoja awe na amani ya kweli. Siyo amani inayosimamiwa na mtutu wa bunduki.
 
Hapa kumejaa uchafu? Rudi kwa mbwa wako kagame punguani mkubwa pana usafi gani kigali ?? Au haujaona miji misafi duniani??
Huna kitanda yani bado unawaza kumiliki kitanda? Kweli utakufa masikin wewe

Dont panic my dear i think kagame or rwandese waliwaikukufanya kitu kibaya sana dat why uko ivo sio bure why not charles Taylor ..???
KAGAME KAGAME WHY KAGAME
ANYWAY ME NAHIS MTU UKIMSEMA N KWAMBA KINAKUUMA KITU FULAN ALICHOFANYA AKAFANIKIWA.
I love Him so much
Cc:Melo


Sent from my iPhone
 
Dont panic my dear i think kagame or rwandese waliwaikukufanya kitu kibaya sana dat why uko ivo sio bure why not charles Taylor ..???
KAGAME KAGAME WHY KAGAME
ANYWAY ME NAHIS MTU UKIMSEMA N KWAMBA KINAKUUMA KITU FULAN ALICHOFANYA AKAFANIKIWA.
I love Him so much
Cc:Melo


Sent from my iPhone

Sasa kama unampenda ndo unataka na sisi tumpende? Mtanzania halisi yeyote hawezi kumpenda. Kamtukana rais wetu alafu analeta dharau. Lazima apigwe tu.
 
Sasa kama unampenda ndo unataka na sisi tumpende? Mtanzania halisi yeyote hawezi kumpenda. Kamtukana rais wetu alafu analeta dharau. Lazima apigwe tu.

Wapi imeandikwa kuwa ukiwa m-Tanzania lazima ukubaliane na vitu vyote vinavyosema na viongozi? Ndio nyie nyie hamuachi kumtukana Rais kila leo lakini kwa hili la Rwanda mnajifanya kumuunga mkono. Mnaongozwa na chuki dhidi ya Kagame na Tutsi. Acheni hizo.
 
Rubbish. Rudasingwa is nothing but a two-timing traitor who will say anything to further his cause. Can't trust him.
 
Kagame ni muuaji na naisifu TPDF kwa kumwadhibu kupitia M23 , kagame ametufungia mama yetu kisa anashiriki siasa amempa kesi ya uhaini , lakina akae akijua hakuna mhutu hata siku moja atakayemkubalia mtusi popote pale duniani akumbuke pia yeye ni asilimia 20% ya total population ya Rwanda huku muhutu akiwa 80% na manyanyaso vyenye anafanya kwa wahutu kuanzia kwenye ajira na masomo ya nje yanafahamika sana iko siku yake
 
Back
Top Bottom