its official: mi na charmingLady dole Tupu

hapa kunakamchezo kachafu,1. charminglady kuutangazia umma kuwa yupo single na hataki mwenza kwani hataki stress za wanaume 2. wakati ndio sasa anatangaza nia na dhamila ya kuwa mpenzi wa cl mwenye mapenzi ya dhati. 3. Cl anatangazia umma kuwa hayuko tayar kumpenda Wns na anaamua kuondoka jf kwa kusumbuliwa na wns 4. Wns anaingia mkenge anapigwa ban mpaka sept. 5. Cl anaibuka kutoka mafichoni na sababu kibao za kujifich 6. M6 Anatangakuwa mwenza wa cl.hapa kuna mchezo mchafu

Dah! hii ilinipita kidogo, kweli huu ni mchezo ulioratibiwa kimakini kabisa kumkaanga wakati ndo sasa, ila MtotoSix kuwa makini,Charminglady seems to be kinda schemer!
 
Last edited by a moderator:
hapa kunakamchezo kachafu,1. charminglady kuutangazia umma kuwa yupo single na hataki mwenza kwani hataki stress za wanaume 2. wakati ndio sasa anatangaza nia na dhamila ya kuwa mpenzi wa cl mwenye mapenzi ya dhati. 3. Cl anatangazia umma kuwa hayuko tayar kumpenda Wns na anaamua kuondoka jf kwa kusumbuliwa na wns 4. Wns anaingia mkenge anapigwa ban mpaka sept. 5. Cl anaibuka kutoka mafichoni na sababu kibao za kujifich 6. M6 Anatangakuwa mwenza wa cl.hapa kuna mchezo mchafu

Nafikiri mteja wangu amejaribu kuuthubitishia umma kuwa watu wana badilika ndio maana anafanya maamuzi ya kusign contract na Mtoto six bila msukumo wa mtu au kikundi chochote.

Na mteja wangu hausiki na michezo michafu tajwa hapo juu labda ithibitishwe pasi shaka!
 
Last edited by a moderator:
Samahani na fanya kazi yangu usishangae!
Mteja wangu hausiki kabisa na case ya wakati ndio sasa!
Nafikiri kilichomtokea wakati ndio sasa ni kukihuka Terms za contract yake na jf.

Nakupa nafasi ya kutoa ushahidi kuthibitisha madai yako!

charminglady umenikwaza aisee! Kuna uchakachuaji umefanya na ndio maana natamani wakati ndio sasa angekuwa huru.hapa mpaka ume format mood yangu kabisa
 
Last edited by a moderator:
we kijana ulikuwa wapi nakutafuta kinoma yaan! Dah?

mi nipo tu naangalia dada yangu CL anavogombaniwa na hawa vijana... Nadhani utaratibu wa kuwawekea speed meter hawa kina dada ungekuepo hakuna ambaye angetamani ata kumwongelesha et.!!
 
mkuu Ruhazwe JR naomba nisihusishwe kwa vyovyote vile na ban ya wns make wakat anapigwa ban sikuwepo na taarifa za kupigwa ban nimezipata toka kwako!
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri mteja wangu amejaribu kuuthubitishia umma kuwa watu wana badilika ndio maana anafanya maamuzi ya kusign contract na Mtoto six bila msukumo wa mtu au kikundi chochote.

Na mteja wangu hausiki na michezo michafu tajwa hapo juu labda ithibitishwe pasi shaka!

bora unisaidie my lawyer make hawa watu wananisakama lol!
 
Wadau msimuandame sana barafu wa moyo wangu charminglady. Muacheni apumue Leo ni siku yetu atleast msubiri baada ya wiki ivi ndo muanze majungu, kishawaambia uyo jamaa yake wa kitambo washatosana jamani
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni uzee au macho yangu? Hivi charminglady si ulituaga na kuapa hutarudi tena JF? Umeshakikana kiapo chako kabla hujakumbwa na malaana? Chezeya JF? Wanaotoka huwa hawaagi.

hahahaaa babu Asprin hebu soma vizur hyo post yangu, sababu ya kuaga na kurudi. . .
 
Last edited by a moderator:
Wadau msimuandame sana barafu wa moyo wangu charminglady. Muacheni apumue Leo ni siku yetu atleast msubiri baada ya wiki ivi ndo muanze majungu, kishawaambia uyo jamaa yake wa kitambo washatosana jamani

wa ukweli hebu njoo twenze zetu tukahemee kwa ajili ya sikukuu. achana nao hao wenye wivu wajinyonge na utandu wa buibui. . . . hureeee!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom