its official: mi na charmingLady dole Tupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

its official: mi na charmingLady dole Tupu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by UncleUber, Aug 19, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  wale wote mliokuwa mnamvizia charminglady mlie tu coz kuanzia sasa mpaka ni bond yangu. Natia msisitizo, kuanzia sasa charminglady ni Laaziz wangu.Mimi na Kipya Kinyemi changu tunawatakia sikukuu njema :)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  yan wenye wivu wajinyonge,soon tutaanza vikao. . . wa ukweli MtotoSix hebu kamwone mamangu measkron akupe baraka zake!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Mmmmmh mpaka ban na burn ya Wakati ni sasa iishe, atakuta hana lake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yetu macho, walishajitangaza wengi sana hapa,yakiwashinda hawarudi kutangaza tunayaskia mtaani!! All the best!
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  shost unajua hakuna raha kupendwa na unayempenda eeeh! afu wns nlikuwa simfeel hata ukucha lakn MtotoSix wee asikwambie mtu lait kama ungeupasua moyo wangu wangu unaona alivoujaza!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu acha uchuro asubuh asubuh lol. . .
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280


  Kwahiyo unamrusha nani roho? Ukiona nimekuachia ujue nmemchoka. nikitaka kukunyang'anya vilevile nakunyang'anya. Mwenzio anakuinjoy. Dawa yako ni ban kama mwenzio alivyo fanywa ndo utajua kuheshimu wake zetu. mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kuja kwa mama sio jambo dogo. ila muda si mrefu ntafika kwa measkron ajue jinsi nilivyodondoka kwa bintiye charminglady
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  unalo wewe.... nadhani we ni mmoja ya mnaoongoza kwa kupigwa vibuti humu heheheheheh
   
 10. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kaniambia jinsi alivyokutosa ni mbwembwe zako zote
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mwe! we mwana we! shauri yako, ukiona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi!!,we nenda na kasi yako hiyo. Always experience is the best teacher!
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,629
  Trophy Points: 280


  Kwahiyo unamrusha nani roho? Ukiona nimekuachia ujue nmemchoka. nikitaka kukunyang'anya vilevile nakunyang'anya. Mwenzio anakuinjoy. Dawa yako ni ban kama mwenzio alivyo fanywa ndo utajua kuheshimu wake zetu. mia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Haya mama, ushanasa katoto ka watu!! kaonyeshe njia
   
 14. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  mhh.!!!
   
 15. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah,natamani uongozi wa jf umuachilie huru wakati ndio sasa a.k.a Time is now (TIN) ili nione move inaishia wapi. charminglady hufanyi fresh yule kijana kweli anamapenzi ya dhati.think twice
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  we kijana ulikuwa wapi nakutafuta kinoma yaan! Dah?
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Vp mkuu kwani yuko kifungoni!!?? kama ndo hivyo basi itakuwa zengwe limepandikizwa na mtoto six!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Aisee uyu dogo kalambwa ban kwa sababu gani nilikiwa sijui. Saaa mbonankama
  Zengwe hili BADILI TABIA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  should i prepare documents and terms of this coming contract ma client?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hapa kunakamchezo kachafu,1. charminglady kuutangazia umma kuwa yupo single na hataki mwenza kwani hataki stress za wanaume 2. wakati ndio sasa anatangaza nia na dhamila ya kuwa mpenzi wa cl mwenye mapenzi ya dhati. 3. Cl anatangazia umma kuwa hayuko tayar kumpenda Wns na anaamua kuondoka jf kwa kusumbuliwa na wns 4. Wns anaingia mkenge anapigwa ban mpaka sept. 5. Cl anaibuka kutoka mafichoni na sababu kibao za kujifich 6. M6 Anatangakuwa mwenza wa cl.hapa kuna mchezo mchafu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...