It’s my birthday today

It’s my birthday today

Uko wapi?, nataka nikuletee zawadi ya sado la mahindi kwa kufikisha miaka mingi.
 
weruweru mto ule unapita karibu na eneo Hilo nadhani mpk kuitwa weruweru

Ila galz wa weruweru walikuwa wanajikuta special sana pamoja na headmistress wao Cha kushangaza tumekutana nao JKT na chuoni daah 😂 cc secretarybird
Nilikuwa natoka shuleni usiku kwenda kuwafikisha kileleni. Siku moja ilibaki kidogo nikamatwe aise!

Nikipata muda nitaleta mkasi kamili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom