It’s my birthday today

It’s my birthday today

heri ya siku ya kuzaliwa Chakorii, mdada usiye penda hela.

mkorofi kidogo, na mwenye pua kama filimbi.
FB_IMG_16860196830983857.jpg
 
Mungu akupe kile ambacho moyo wako unatamani, akupatie miaka mingi ya furaha, afya njema, na mafanikio katika kila hatua ya maisha yako.

Pitia Pizza Hut hapa Mjini kati, uchukue walau Kuku nusu kufurahia Siku hii muhimu kwako 🤗

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mjukuu!🎉
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom