ooops!!! seriously nilijua tu kaamua kutuchezea akili kwa pic fake kumbe ni yeye original na ana mambo kedekede, lolunasema hivo sababu hmjui mtoa mada...pia picha ni yeye halisi na huku uraiani tunamjua ni nani ila tumeamua tu kukaa kimya.
endelea kumuentertain!
siku njema
Acha roho mbaya,huwez kuninyima kwa style hii!Tafadhali soma na usitanie Mungu amekuona unasumbuka na kitu fulani na amesema matatizo yote yameisha, na anakuja ktk njia yako na kukubariki na kama unaamini watumie watu sms hii na usitanie haya ni majaribu, na Mungu atakutengenezea vitu viwili vikubwa leo unavyovipenda kama unaamin acha vitu vyako vyote unavyovifanya na tuma hii sms kwa watu 25 kwa dakika 30 halafu utaona kesho ni cku nzuri ktk maisha yako.
HBado unaishi kwenye Past Era
Kwahiyo tulazimishe kuolewa??
Asiyeolewa anapungukiwa na nini?
Mbona picha haionekani vizuri
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
unasema hivo sababu hmjui mtoa mada...pia picha ni yeye halisi na huku uraiani tunamjua ni nani ila tumeamua tu kukaa kimya.
endelea kumuentertain!
siku njema
Jamani huyu Dada anapatkana wapi? Hatakama yupo Kibiti mm naweza kwenda kuzungumza nae mambo ya msingi
Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
naona yuko busy now..anaparamia miti kwa raha zake na kuongeza sifuri
namwacha ajivinjari
Hilo goti sasa!!
Sitaki shobo na mtu, JF is a stress free zone
Nataka nianze kutumia sura yangu halisi. Naomba maoni yenu
Sasa goti linahusiana na nini...?utakuwa wa kwanza duniani kuchagua demu eti "ana magoti bomba"...ha ha ha..wengi tunaangalia sura na makalio tu basiiiiiHilo goti sasa!!
Huo utafiti uliufanyia wapi mpaka kufikia conclusion kua nitakua mtu wa kwanza duniani? au bado hujaamka vizuri?Sasa goti linahusiana na nini...?utakuwa wa kwanza duniani kuchagua demu eti "ana magoti bomba"...ha ha ha..wengi tunaangalia sura na makalio tu basiiiii
...Kuamka kitambo sana najifikiria kurudi kulala tena....kwa hio ni kweli kuwa unavutiwa na magoti....?sasa najiuliza hawa wavaa suruwali,wavaa madera....unapata tabu sana kuona magoti.Wacha mi nibaki na hivyo vya enzi na enziHuo utafiti uliufanyia wapi mpaka kufikia conclusion kua nitakua mtu wa kwanza duniani? au bado hujaamka vizuri?
Sawa Mkuu....Kuamka kitambo sana najifikiria kurudi kulala tena....kwa hio ni kweli kuwa unavutiwa na magoti....?sasa najiuliza hawa wavaa suruwali,wavaa madera....unapata tabu sana kuona magoti.Wacha mi nibaki na hivyo vya enzi na enzi