Japo Ex wangu kaolewa nataka ni mruke ukuta kukata kumkata mazoea

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,852
wakuu kwanza mnisamehe sana.

yapata miaka kadhaa mwanamke niliyejikuta na mgaramikia aliniacha kwa fedheha sana na katika mazingira magumu sana ya maradhi. Ilikua ni ngumu mno kukubaliana ila kadiri siku zilivyo zidi kwenda nilijikuta nimezoea na sasa nikaanza kuchezea wanawake wa kila rika pasi na huruma yeyote.

Ndugu huyu x-wangu alipata kijamaa kikamuoa na kumzalisha kiasi cha kuniringia mno japo mimi nilitaka kumsahau na kumpotezea mazima ila sasa ana kosa adabu na amekua mchokozi mno pindi tunapokutana mitaani yani ni kama anajilengeshalengesha tena kwangu na nina mpuuza ila sasa uvumilivu unanishinda wakuu.

Ndugu sinampango wowote wa kumlipa kisasi ila sasa naona kanipa chance ya kufuta machungu yangu kwake, nimejiapiza akileta shobo tena kabla huu mwezi haujaisha lazima nimruke ukuta maana mlango sahihi siwezi utumia tena kwa x-wangu kwani umeshakuwa mchafu na haramu.

Nataka ni mruke ukuta ili iwe fundisho kwake aache shobo na mimi na atulie na mwanaume wake .

Naomba tuu mnisamehe na mwanaume wake aliye niibia mpenzi wangu ajue kabisa mke wake alikua demu wangu na ananilietea shobo hivyo sina budi ya kumruka ukuta kama njia ya kumkata wenge.

Naombeni mawaidha yenu kama nipo sahihi au sipo sahihi maana bila kufanya hivi naona kabisa siteundei uanaume wangu haki yake.
 
Kisheria unaweza fungwa maisha, wewe jikute mwamba.
@Loading failed kindly see the attached FYA.
20230328_061241.jpg
 
Back
Top Bottom