It’s ma birthday y’all

Astral projection nilishawahi fikia hiyo level sikuoana kama ni illusion tu 🤔 nitaacha pombe nithibitishe zaidi, kwa sababu nizoezi ambalo naweza fanya mwenyewe bila kuambiwa tu
Ila unajua unywaji sana unasabibisha kufunga sehemu ya rem sleep, unakua huoti bali unapata tu usingizi mzito, na ubongo unahitaji ndoto hivyo baada ya muda unaweza pata Delirium (unakuwa na state mbili kwa wakati mmoja) ndoto zinaanza kuja ukiwa macho, unaanza kuona mauza uza ukiwa macho 😃
 
Kumekucha!! Hadi wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…