It's good to see happy faces

It's good to see happy faces

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
561568_295781720538583_1266470000_n.jpg
 
Kuku wa kienyeji hao! Ugonjwa wangu huo jamani duuu!!
 
hawako ni miongoni mwa makundi hatarishi, wanajifanya wanakwenda kutafuta samaki na wanarrubuniwa kirahisi na wavuvii
 
wanaume ni viumbe hatari sana u cant predict their future yet,kila kitu nyie mnatamani tututu
 
mmh! sijui ni mziki gani wanaocheza hapo..labda ni embakass
 
uzee umemtupa mkono atapataje kuku wa kienyejiiiiiiiii???????????????????
Wapo wa saizi yake ambao anaweza kuenjoy kama shemeji yetu hayupo na kama yupo basi atulie tu awaachie vijana kwani wakati wake umepita.
 
I love them natural galz, uzee huu!!!

ni namba tu usiogope umuoni mzee nanii baba ake nanii nyumba nzima wanatumia mkorogo na karikiti si mtoto wa kike si wakiume mtafute iga mpango utanipa majibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom