shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,357
Every day with you is special but today is extra special, your the only man whom I have truly loved,truly admired and respect.
Sina mengi sana ya kuelezea unajua nnavyokupenda na nakutakia Heri ya siku ya kuzaliwa Mungu akupe miaka mingi zaidi ukiwa na Mimi of course.
Wapendwa karibuni kumtakia mkuu wa kaya happy birthday