FaizaFoxy Platinum Member Apr 13, 2011 92,881 109,191 Sep 4, 2011 #21 Shossi, nimempa hiyo Gozi langu sasa hivi (maana yeye ni mshabik wa Arsenal), naona swaum ya sita imezidi. Anajidai hataki hata kucheka.
Shossi, nimempa hiyo Gozi langu sasa hivi (maana yeye ni mshabik wa Arsenal), naona swaum ya sita imezidi. Anajidai hataki hata kucheka.
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,043 10,692 Sep 4, 2011 #22 Jamani mnatukumbusha machungu.