Picha linaanza wametoka kuniamsha saa tatu asubuhi,wala sikuwa na muda wa kuamka paka hyo saa satatu,Kila mmoja kaja kuchukua hela Ya matumizi na Mimi mifukoni sina hata ndururu wala sielewi siku yangu itaendaje,kimoyo moyo naomba mungu wamalize vurumai lao huku nikimuwazia mtoto SUZI chupi mnato kuwa leo nina mihadi naye jioni pale UBANDA kwa nyuma karibia na kwa mama Dulla Mpondeko.