Itoeni miili yenu kwa mwaka 2013

Itoeni miili yenu kwa mwaka 2013

watu walio na matatizo ya kisaikolojia itabidi wasaidiwe tena sana kabla hawajachanganyikiwa na kuanza kuokota makopo barabarani bure naomba Mentor msaidie huyu bwana mdogo fazaa anahitaji canselling ya kipekee tena ikiwezekana mkaribishe katika kile chumba cha siri jirani na akina Ruttashobolwa maana ameanza kuropoka ovyo sana sijui anajua watu wana siku zao hakuna mtu mwenye siku zake hapa duniani bali Mungu pekee na andiko la 1 Timoth 4:12 nadhani atafunguka toka katika hilo pepo alilonalo
ladyfurahia si lazima upost mara mbili, hapo ndo dalili zinaonyesha una matatizo makubwa.

Kwanza kichwa cha thread yako, kimeniwacha hoi....Yani unataka watu watoe mili yao mwaka 2013!

Afu tazama ujinga mwingine
Acheni kutoa miili yenu kwa mambo yasiyofaa wala kuutoa moyo wako kwa mtu asiyekufaa
Hivi kuna mtu anatoa mwili wake kwa mtu asiye mfaa!

Vilevile si vyema kutoa mwili wako kwa mambo yasiyo na faida kwako kabisa yenye kupelekea umauti wa roho yako
Kuna mtu anatoa mwili wake kwa mambo yasio na faida? nani huyo lazima atakuwa kichaa.

Wanawake wote wanao gawa K zao, wanagawa kwa faida zao wenyewe, hata malaya hagawi K yake bila pesa!

We kweli umepinda, unatakiwa kuinamishwa tu :biggrin1:
 
Ujumbe wako mzito kweli, ladyfurahia ... vijana wanaishi kidigitali eti, hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia, so wanatest validity kabla ya kuvuta kitu ndani. Utanunuaje bidhaa supermarket afu ukasomee expire date nyumbani? Afu mbaya zaidi unagundua iliexpire 2012, dah majanga!! kama vp tuanzishe kanisa afu tutakuwa hatufungishi ndoa watu wenye vitenesi tayari tuone tutapata waumini kiasi gani...
 
Last edited by a moderator:
ndo mana nilikwambia wewe una matatizo ya kisaikolojia unaitaji ushauri wa ziada kwani wewe ni limbukeni wa mawazo na una afya duni ya akili yako kwani waonesha umedata na mambo ya zinaa na ni mtu unayefanya uovu huo usiompendeza Mungu kama utaacha basi utaangamia kaibisa tena utakwenda jehanamu ya mielele ACHA HIYO TABIA MRUDIE MUUMBA WAKO SASA KWANI WAKATI WA WOKOVU WAKO NDIO SASA NA SIKU YA WOKOVU WAKO LEO TUBU UKICHAA ULIONAO NA MRUDIE MUNGU ATAKUBADIILISHA UTAKUWA HURU TENA HURU KWELIKWELI KWANI YAKALE YAATAKUWA YAMEKWISHA TAZAMA YAEMEKUWA MAPYA acha mara moja NJOO NIKUKUCANSELL UWE MWANAKONDOO MWEMA fazaa
 
Last edited by a moderator:
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, ni Vizuri kutupia na Gombo kidogo humu Jf, safi sana Mungu akubariki utokapo na uingiapo
 
TATIZO KUNA MAKABILA MENGUNE WANASEMA --- MI KUMNYIMA MTU KITU SIWEZI :becky:
 
ndo mana nilikwambia wewe una matatizo ya kisaikolojia unaitaji ushauri wa ziada kwani wewe ni limbukeni wa mawazo na una afya duni ya akili yako kwani waonesha umedata na mambo ya zinaa na ni mtu unayefanya uovu huo usiompendeza Mungu kama utaacha basi utaangamia kaibisa tena utakwenda jehanamu ya mielele ACHA HIYO TABIA MRUDIE MUUMBA WAKO SASA KWANI WAKATI WA WOKOVU WAKO NDIO SASA NA SIKU YA WOKOVU WAKO LEO TUBU UKICHAA ULIONAO NA MRUDIE MUNGU ATAKUBADIILISHA UTAKUWA HURU TENA HURU KWELIKWELI KWANI YAKALE YAATAKUWA YAMEKWISHA TAZAMA YAEMEKUWA MAPYA acha mara moja NJOO NIKUKUCANSELL UWE MWANAKONDOO MWEMA fazaa
ladyfurahia matatizo yako hutaki kukubali makosa ulio ya-andika ndo mana unasema na matatizo ya kisaikolojia, mweye matatizo hayo ni yule anaye shakia wenzake wana zini kama wewe.

Mimi kama na zini, je tulizini na wewe?

Sa umejua vipi mimi ni mzinifu kama hujazini na mimi!

Hujioni wewe ndo una matatizo ya kisaikolojia?

Hivi mara ya mwisho we kufanya sex ilikuwa lini? Kama siku nyingi hujafanya inabidi ugawe tu K yako, watu waichangamkie.

Lazima ufahamu mwanamke akikaa sana bila kusex, anakuwa na matatizo kama yako :biggrin1:
 
Mungu akusaidie maana hujui ulinenalo wala huwazalo fazaa siwezi kuongea na kubishana na watu machizi kama wewe usifunzwa na mama yako basi angalia dunia itakufunza. naomba nisiendelee kuongea na dubwasha la namna hii
 
Last edited by a moderator:
asante sana na tuendelee kutoa gombo mpaka Tanzania ibadilike na kumrudia Mungu kwani kizazi chetu kinaangamia sana naomba umsaidie huyu ndugu fazaa nadhani ana matatizo ya kiakili na anahitaji msaada wa kina na ikiwezekana tumwite katika chumba cha siri tumsaidie mapema kabla hajaanza kuchizika cacasi
 
ladyfurahia hivi wewe huwezi kuongea point mpaa umuingiza mama yangu humu hahaha, sa mama yangu anahusika nini hapa!

Afu umejuwa vipi kama mimi sijalelewa? Na umejua vipi kama mimi sina heshima?

BTW kukufamisha tu Mimi nimelelewa kwa adabu kuliko wewe, kukosoa thread yako haisababishi mimi kuwa sina adabu.

Mkosa adabu ni yule anaye ingilia mama za watu, wakati hawahausiki kwa lolote lile.
 
asante sana na tuendelee kutoa gombo mpaka Tanzania ibadilike na kumrudia Mungu kwani kizazi chetu kinaangamia sana naomba umsaidie huyu ndugu fazaa nadhani ana matatizo ya kiakili na anahitaji msaada wa kina na ikiwezekana tumwite katika chumba cha siri tumsaidie mapema kabla hajaanza kuchizika cacasi
ladyfurahia naona umenifurahia sana kila sehemu lazima uni copy mara mbili mbili, umeisha anza ku-utamania mtarimbo wangu nini.

Chizi ni wewe unaye toa thread kichwa cha habari kingine na ndani ya thread utumbo mwingine, tazama hapo nakukumbusha tu quote yako, wewe kama unataka kutoa K yako toa tu, sio lazima uzunguke sana
Itoeni miili yenu kwa mwaka 2013
 
NAONA AIBU KUMNYIMA NTU MWILI,we niangusege tu!!
 
Back
Top Bottom