ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Hamjambo wote wanajf
happy new year
Leo nina habari iliyonjema kwenu hasa wadada na makaka wa jf, ni vyema kwa mwaka huu ukajipanga unafanya nini na nini ambacho unataka kukifanya kwa mwaka huu, sio mwaka unakwisha unanzaa kukurupuka ovyo na kujutia kabisa.
Sitaki kuwachosha kwa maneno tu bali nina dukuduku la moyo wangu Acheni kutoa miili yenu kwa mambo yasiyofaa wala kuutoa moyo wako kwa mtu asiyekufaaanayekupotezea muda wako bure na mwishowe ukajuta kwa mwaka mzima. Vilevile si vyema kutoa mwili wako kwa mambo yasiyo na faida kwako kabisa yenye kupelekea umauti wa roho yako. Napenda kuwatadhalisha au kuwaonya kuwa si vyema na wala haimpendezi Mungu kuutoa mwili wako kwa shetani autumie vya kutosha angalia unaangamiza roho yako bure. " Basi ndugu zangu nawasihi kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu kuwa dhabihu iliyo hai, takatifu ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana wala Msiifuatishe namna ya dunia hii bali mgeuzwe NIA zenu mpate kujua hakika ya mapenzi ya Mungu yaliyo mema ya kumpendeza na ukamilifu. (Warumi 12:2)
Natumai mtachukua hatua za ziada kuachana na tabia ya kuutoa mwili wako kwa mambo yasiyofaa wala kuutoa mwili wako kwa uchafu wa ngono na uasherati ambao Mungu hapendezwi nao mwili wako ni hekalu la Mungu haipendezi kuunajisi kwa mambo maovu. Achana na dhana ya wengine wanasema usipoonja asali huwezi kutoa mzinga wanakudanganya bure hao, dada na kaka zangu wa jf, mwili wako ni sehemu takatifu na Mungu aliumba kwa makusudi muhimu sana kwa ajili ya utukufu wake, hivyo si busara kuutoa mwili wako kwa dhambi hiyo ya tunda la kati wengi husema kuwa ni vyema tukajuana mapema ili tujue kuwa wewe ni mzima huo ni mgando wa mawazo finyu mnajidanganya bure hasara yake ni kuukosa uzima wa milele. Mtajikagua na kugundua wapi umekosea na kumrudia Muumba wako
Happy new year 2013