Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Asante kushukuru ni sahihi
na wala haikuanzia kwa wasukuma
hata watu wa Zanzibar na pwani walikuwa wanatumia hii kwa miaka mingi tu
Mi nimeshangaa hata kwa Wanyasa. Nimekuwa na Wanyasa kadhaa pia wao wanasema hivyo. Hasa sijui wanaiga kwa watu wa huku au nao ni namna yao.
Itakuwa ya kwao pia
waafrika ni kawaida hii kujibu hivyo
Mwanakijiji ni msukuma anajifagilia tu
Itakuwa ya kwao pia
waafrika ni kawaida hii kujibu hivyo
Mwanakijiji ni msukuma anajifagilia tu
Kwani Bosi we mwisho wako Chumbe....lol
Mimi mnyamwezi pure lol
hata mimi nakubali halikuanzia huko usukumani.....Asante kushukuru ni sahihi
na wala haikuanzia kwa wasukuma
hata watu wa Zanzibar na pwani walikuwa wanatumia hii kwa miaka mingi tu
unaitikia nini mtani? hata sisi kule mfaranyaki tunalijua hilo jibuMarhabaa
hata mimi nakubali halikuanzia huko usukumani.....
hata mimi wakati nipo kijijini kwetu kule Peramiho, enzi hizo sijawahi kutoka kwenda sehemu nyingine yoyote, na hata waliokuwa wamenizunguka pia walikuwa hawajatoka, nilikuwa najua jibu la asante ni asante kushukuru.........
unaitikia nini mtani? hata sisi kule mfaranyaki tunalijua hilo jibu
hata mimi nakubali halikuanzia huko usukumani.....
hata mimi wakati nipo kijijini kwetu kule Peramiho, enzi hizo sijawahi kutoka kwenda sehemu nyingine yoyote, na hata waliokuwa wamenizunguka pia walikuwa hawajatoka, nilikuwa najua jibu la asante ni asante kushukuru.........
Nipo rafikiKaribu aisee
upoo?
Kama Sitta....