Itifaki imekaaje hapa

tatizo ni nini? mbona mtu akiwa kwenye mafunzo huko akitembea kwenye matope na vinyesi vya wanyama na binadamu hakuna msemacho? au kwakua leo mtu anafurahia safari yake? mbona ile yakuruka akimwagiwa mtu hatusemii, mi naona kawada ka mtu anahoja ya msingi kulipinga hili aje na aeleze
 
Hilooo....
Heshima ya Jeshi ipo wapi?

Uadilifu wa wanajeshi wetu upo wapi.

Kama wanafanya hivi hadharani je huko kwenye makambi yao inakuwaje.

Uafisa wao umelowa pombe.

Sasa Imefika Maafisa wetu waende kwenye sherehe wakiwa na nguo za kiraia. Hii hapo ni kudhalilisha jeshi na Jemedari wetu mkuu kwa vyeo alivyowavika kuvifanyia mchezo.
 
Acheni ujinga. Siku mojamoja mnajipa mialiko kwenye harusi za wanajeshi. Hapo anaondolewa kwenda kuvaa nguo za kiraia kuendelea na sherehe. Ni kawaida mbona kwa harusi za wakristo za kijeshi.
 
Heshima ya Jeshi ipo wapi?

Uadilifu wa wanajeshi wetu upo wapi.

Kama wanafanya hivi hadharani je huko kwenye makambi yao inakuwaje.

Uafisa wao umelowa pombe.

Sasa Imefika Maafisa wetu waende kwenye sherehe wakiwa na nguo za kiraia. Hii hapo ni kudhalilisha jeshi na Jemedari wetu mkuu kwa vyeo alivyowavika kuvifanyia mchezo.
Mkuu umesahau kumalizia over
 
Yohana akiwaspot hawa.. Gwanda watavua
Hapana mkuu. Ni jambo la kawaida katika shamrashamra za harusi za wanajeshi.

Ukiwakuta wanafunga ndoa na wakiwa kwenye hayo mavazi hawacheki wala kutabasamu. Kuanzia kanisani huwezi ona sura ya furaha na bati tu. Sasa hapo ukumbini wanaendelea na bati mpaka sehemu kama hiyo sasa wanamwondoa mwenzao kwenda kuvua nguo na wao kuvua nguo au sare za jeshi na kuvaa nguo za kiraia. Hiyo ni kipindi cha mpito kutoka ukumbini kuelekea kwenye kubadili nguo. Huyo bwana harusi anasindikizwa na askari wenye cheo kama chake na ndiye anayemwagiwa pombe.

Huwa wana mbwembwe nyingi mno hadi raha na pengine kero kwa bibi harusi.
 
Ahahahaa aisee
 
Heshima ya Jeshi ipo wapi?

Uadilifu wa wanajeshi wetu upo wapi.

Kama wanafanya hivi hadharani je huko kwenye makambi yao inakuwaje.

Uafisa wao umelowa pombe.

Sasa Imefika Maafisa wetu waende kwenye sherehe wakiwa na nguo za kiraia. Hii hapo ni kudhalilisha jeshi na Jemedari wetu mkuu kwa vyeo alivyowavika kuvifanyia mchezo.
:D:D:D:D Mambo ya jeshi waachie jeshi wenyewe sio wajinga hao karibu saana!
 
Back
Top Bottom