malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,639
Tatizo la wabongo ni washamba na wanaanza ku comment kwenye picha ambayo, kwaza hawakuwepo wakati inapigwa, hawajui lilikuwa ni tukio la aina gani, taratibu za taasisi husika hawazijui. Kwa taarifa yenu hiyo ilikuwa ni ndoa ya kijeshi na ndio shamra shamra za ndoa hizo huambatana na kumwagiwa pombe. Hiyo ni officialy katika majeshi mengi duniani. Kwa nini pombe? pombe ni kiungo kikubwa sana cha mwanajeshi ndio maana hata kwenye mabwalo yao pombe ipo kwa bei poa. Na hata tafsiri ya vita (WAR) wameitafsiri W= WOMEN, A=ALCOHOL, R= RIFLE.
Na hili Neno pia. Na ndio maana wengi wao ni walevi chakali chakali.