mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,640
- 8,966
msaada wakuu kuna hii simu nimeona mahali tangazo lake nimechoka kutumia simu za gharama nataka niwe na low cost with maximum satisfaction je hiyo dimu itanifaa cc Chief-Mkwawa
Yes Mkuu ni simu nzuri aisee mi mwenyewe natumia hiyo, hata haisumbui.msaada wakuu kuna hii simu nimeona mahali tangazo lake nimechoka kutumia simu za gharama nataka niwe na low cost with maximum satisfaction je hiyo dimu itanifaa cc Chief-Mkwawa
Inauzwa shilling ngapi?msaada wakuu kuna hii simu nimeona mahali tangazo lake nimechoka kutumia simu za gharama nataka niwe na low cost with maximum satisfaction je hiyo dimu itanifaa cc Chief-Mkwawa
Yes Mkuu ni simu nzuri aisee mi mwenyewe natumia hiyo, hata haisumbui.
jamani mm ninayo kama iyo lakini betrii imevimba hatari saivi namtumia ikiwa kwenye chaji Bila ivyo inazima tu, sijui tatizo kimetoka wap maana mwanzo ilikua poa tu, ina mwaka tu
Wanajitahidi sana hasa upande wa camera display pia ni nzuri pia bei zao ni friendly nimetumia tecno pia itel naweza sema itel ni nzuri wa boreshe battery hasa hiyo s31 ni nzuri ila ukiwasha data battery inakata haraka huwa nawafuatilia matoleo yao kadri wanavyo toa wanazidi kuboresha ninge mshauri mtoa mada badala ya s31 achukue hii s33 mpya waliotoa ina feature nzuri sana bei yao walio weka ni 250kwameshatoa s 33 ina features nzuri sana tatizo bado hawajawa wazoefu kivile so tegemea udhaifu pia.
Kwa kumsaidia bei ni kama 160k kwa sasashilingi ngapi?
niliipata kwa miambili sema nikaitumia kwa siku kama mbili. iko vizuri sana. tatizo haikalomaa ka techno so lazima iwe na vijiflaw vya hapa na pale. Mi nilichukua hizi za kawaida.Wanajitahidi sana hasa upande wa camera display pia ni nzuri pia bei zao ni friendly nimetumia tecno pia itel naweza sema itel ni nzuri wa boreshe battery hasa hiyo s31 ni nzuri ila ukiwasha data battery inakata haraka huwa nawafuatilia matoleo yao kadri wanavyo toa wanazidi kuboresha ninge mshauri mtoa mada badala ya s31 achukue hii s33 mpya waliotoa ina feature nzuri sana bei yao walio weka ni 250k
Kijamaa kinajua kucheza na akili za watu!!dah bora nikatumie tecno au infinix ila sio itel
Hizo zote ni kampuni moja tofauti majina tudah bora nikatumie tecno au infinix ila sio itel
Hiyo p32 nimeona hadi awa android authority wa uk wameizungumzia ina offer huge feature kwa low price kwa bei hiyo sio mbaya kinacho fanya manufacturer kama Samsung wakae kwenye game ni quantity & quality ya product zao hazichuji unaweza kutumia for years na bado ipo vizuri mfano galaxy note 2 ya 2012 bado ipo vizuri kulinganisha hata na kampuni zingine za 2018 kama ingepata update ya andoid 6 au 7 bac ingekuwa hatari sana.Kingine simu ya samsung ya price yoyote inakuwa na quality na uwezo mzuri kulingana na bei so kila user anajisikia safi kwa yule anayetumia midrange au flagship. Itel japo watu wanasema ni ndugu na tecno ila kuna utofauti itel imetulia haaina kuganda ganda na kuchemka kama tecno nasema hivyo cause nimesha jaribu zote nikaona utofauti na itel nzuri ni hizi za 2018 wamejitahidi upande wa display unaona high quality camera nzuri kwa hii p32 pia uwezo battery ni mzuri. Kama hauko addicted na big companies zina faa sana kwa matumizi ya muhimu.Hizi kabila zote (tecno, infinix na itel) zinapokua mpya, unaweza kutukana na kuwaona I-phone, Samsung, Nokia, LG wachumba tu. Subiria muda kidogo upite zianze makalambwanda, urajuta.
Nna Itel P32 bado ipo kwenye honey moon naisubiria ianze kunionyesha rangi zake halisi. Hadi wakati huu, hofu ya kuishiwa charge au ubora wa picha sina, bado iko vizuri sana.
Lakini kwa bei ya 200k hata ikijikongoja mwaka mmoja sitajutia.
Betri imekufajamani mm ninayo kama iyo lakini betrii imevimba hatari saivi namtumia ikiwa kwenye chaji Bila ivyo inazima tu, sijui tatizo kimetoka wap maana mwanzo ilikua poa tu, ina mwaka tu
Usiulize tatizo limetoka wapi tayari kuvimba battery ni tatizo toa kabisa tafuta battery nyingine nzuri wakati mwingine kufa battery ni user mistake japo hiyo simu battery life yake sio strong hasa ukiwa umewasha data.jamani mm ninayo kama iyo lakini betrii imevimba hatari saivi namtumia ikiwa kwenye chaji Bila ivyo inazima tu, sijui tatizo kimetoka wap maana mwanzo ilikua poa tu, ina mwaka tu
Wanajitahidi sana hasa upande wa camera display pia ni nzuri pia bei zao ni friendly nimetumia tecno pia itel naweza sema itel ni nzuri wa boreshe battery hasa hiyo s31 ni nzuri ila ukiwasha data battery inakata haraka huwa nawafuatilia matoleo yao kadri wanavyo toa wanazidi kuboresha ninge mshauri mtoa mada badala ya s31 achukue hii s33 mpya waliotoa ina feature nzuri sana bei yao walio weka ni 250k