Tish
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 360
- 209
Mkuu ungejaribu ku Google uone sifa ilizonazo kwa sifa hizo kama ingekuwa samsung tegemea bei ingekuwa juuu zaidi pia hiyo waliotoa wao inaweza kua chini ya hapo kwa mtu mwenye matumizi muhimu ya kila siku sio mbaya pia ni mfumo wa android Go.250k unanunua itel? Kweli wajinga hawaishi