AYOUB HEMED
New Member
- Feb 25, 2014
- 1
- 0
bei gani hiyo?
hii post ya mwakajana mkuu,sory kwa sasa tecno P.5 itakuwa bei gani hapa darMku chukua Tecno P5 inauzwa laki na sitini ni nzuri sana hutojutia pesa yako Nimetumia P3 na L3 lakini hazijafikia kiwango cha P5
mkuu bei zake? na marshmallow ni nzuri sio sababu ya muonekano bali features za ndani ya simu. unaweza fanya simu yoyote ya android iwe na muonekano wa marshmallow ila huwezi ipa feature zake.mi nmevutiwa na itel vision wazee zote mbili 1505 na 1550. Nafikiria niinunue nikirudi mjini bongo, ingawa nimezishika ni nyepesi kama karatasi ila nmepata kuiperuzi vizuri 1505 moja ya jamaa yangu. Inatunza sana charge, ni nyepesi ku load apps na GUI yake imenivutia mno, ni lollipop ilioko customized karibia ifanane kabisa na mashmallow. Kinachonitatiza ni sijapata kujua mapungufu ya hizi simu Chief-Mkwawa hebu nimegee kipande hicho kama unacho mkuu.
ni around 180kmkuu bei zake? na marshmallow ni nzuri sio sababu ya muonekano bali features za ndani ya simu. unaweza fanya simu yoyote ya android iwe na muonekano wa marshmallow ila huwezi ipa feature zake.
na simu yoyote ya android ambayo ni mpya hutunza chaji na kuwa faster sababu ndio nature ya android, tumia baada ya muda fulani ndio utajua kama inakaa na chaji na ipo fast pale utakapoeka apps nyingi na zikawa zinarun chini kwa chini
Yani mkuu itel it's better atafute tecno.mkuu bei zake? na marshmallow ni nzuri sio sababu ya muonekano bali features za ndani ya simu. unaweza fanya simu yoyote ya android iwe na muonekano wa marshmallow ila huwezi ipa feature zake.
na simu yoyote ya android ambayo ni mpya hutunza chaji na kuwa faster sababu ndio nature ya android, tumia baada ya muda fulani ndio utajua kama inakaa na chaji na ipo fast pale utakapoeka apps nyingi na zikawa zinarun chini kwa chini