Mgogo Mmoja
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 332
- 336
simu za Tecno bei moja 160,000/- on average iwe ni P3,N3,L3,m7 wataanza na hiyo bei
Lkn kuna marafiki zangu wamechukua M7 kwa bei ya 190
Hiv Tecno M5 imeshatoka..? Tsh ngap mkuu...

Mku chukua Tecno P5 inauzwa laki na sitini ni nzuri sana hutojutia pesa yako Nimetumia P3 na L3 lakini hazijafikia kiwango cha P5
vipi kuhusu battery yake , inakaribia L3?
vipi kuhusu display, na camera picture quality?
niambie plz
Mimi hapa natumia Itel model it1351
ni ngumu sana nilishaidondosha mara nyingi lakini ipo bado fresh. betri yake inadumu mda mrefu hata ukisafu mchana kutwa upande wabetri techno na huwaei wanasubiri njia panda.
Madhaifu: mpaka leo nimeshindwa kuinstall google play inaniambia connection time out kwa sababu hiyo sipati youtube.kingine ni speed ya mtandao ipochini kulinganisha na techno au huwaei.
Ushauri wangu usinunue simu hii madhaifu yake ni makubwa nunua simu yenye speed kubwa ili ufanye mambo mengi kwa mda mfupi.
asante kaka, hata hivyo TECNO P3 nimemuona rafiki yangu anaitumia sio muda mrefu ni kama miezi mi3 hivi, hivyo nisingeweza kujua mapungufu yake. sasa Unanishauri vipi kuhusu android nzuri ya Double line na bei ya wastani?
L3 nimeitumia ndio ina betri kubwa lakini ulaji wa moto unalingana na P5 kwakuwa mi Internet iko on muda wote siifungi. Pili P5 inarun faster kuliko L3 na haigandi ovyo kama L3 nimelazimika kuiuza baada majanga hayo na niliinunulia betri ya pili hola . Tazama chini nilivyoibadilisha launcher P5 na kuvutia zaidiView attachment 123147
simu za Tecno bei moja 160,000/- on average iwe ni P3,N3,L3,m7 wataanza na hiyo bei
Lkn kuna marafiki zangu wamechukua M7 kwa bei ya 190
simu za Tecno bei moja 160,000/- on average iwe ni P3,N3,L3,m7 wataanza na hiyo bei
Lkn kuna marafiki zangu wamechukua M7 kwa bei ya 190
L3 nimeitumia ndio ina betri kubwa lakini ulaji wa moto unalingana na P5 kwakuwa mi Internet iko on muda wote siifungi. Pili P5 inarun faster kuliko L3 na haigandi ovyo kama L3 nimelazimika kuiuza baada majanga hayo na niliinunulia betri ya pili hola . Tazama chini nilivyoibadilisha launcher P5 na kuvutia zaidiView attachment 123147
mimi hapa natumia itel model it1351
ni ngumu sana nilishaidondosha mara nyingi lakini ipo bado fresh. Betri yake inadumu mda mrefu hata ukisafu mchana kutwa upande wabetri techno na huwaei wanasubiri njia panda.
Madhaifu: Mpaka leo nimeshindwa kuinstall google play inaniambia connection time out kwa sababu hiyo sipati youtube.kingine ni speed ya mtandao ipochini kulinganisha na techno au huwaei.