Itel Mobiles -Android

Itel Mobiles -Android

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
Jamani wadau, hivi hizi simu ya iTEL android zina Ubora kama tecno au ni mbovu. kama kuna aliyewahi kutumia au anayezitumia anijuze tafadhali kama ziko powa au ni model gani ya itel iko powa na ni kama shs ngapi hivi, nisijekuingia mkenge.
 
Nategemea ujaribu kutumia wewe ili utupatie mrejesho kama ni mbovu au ziko poa
 
lakini ingekuwa vema kama kuna ambaye amekwisha kutumia atupe full details, unajua kuna watu wameshatumia simu kibaoo
 
Mimi hapa natumia Itel model it1351
ni ngumu sana nilishaidondosha mara nyingi lakini ipo bado fresh. betri yake inadumu mda mrefu hata ukisafu mchana kutwa upande wabetri techno na huwaei wanasubiri njia panda.
Madhaifu: mpaka leo nimeshindwa kuinstall google play inaniambia connection time out kwa sababu hiyo sipati youtube.kingine ni speed ya mtandao ipochini kulinganisha na techno au huwaei.
Ushauri wangu usinunue simu hii madhaifu yake ni makubwa nunua simu yenye speed kubwa ili ufanye mambo mengi kwa mda mfupi.
 
Nashukuru sana Mdau kwa ushauri, hapa sasa nina uhakika na nilichokuwa nakihitaji. I will go for TECNO P3 or L3
 
nakushauri usinunue P3 ni majanga kwa sasa nataka kutupa kabisa tena bora N3 japo haina fronnt camera lkn P3 majanga matupu kuanzia Battery life mpaka memory na processing...Mm mtumiaji mzuri wa TECNO hope utafuata ushauri wangu

Kama unataka TECNO chukua L3 au M5 au M7 zote nimezitumia hizi from my friends ziko fair au naona wana S3 nayo angalia features zake asa asa ROM vinginevyo utaingia mkenge

Au kwa ushauri wa bure TECNO ni TECNO tu borea chukua Samsung S4 mini Clone bei ya kuanza 200,000/ lkn 180 utapata hii simu iko poa japo ina uongo mwingi e.g Memory inaonesha 16GB lkn ukiweka kwenye PC ni 2GB lkn bado imemfunika TECNO na hao iTel au naona pia kuna G-TIDE
 
Halo njunwa wamavoko je umewahi kuichunguza Huwaei 300y transcend ? Nitoleo jingine la huwaei baada ya kufeli sana betri kwenye huwaei sonic u8560 sasa hivsijui wana nini jipya na hiyo 300y .
 
asante kaka, hata hivyo TECNO P3 nimemuona rafiki yangu anaitumia sio muda mrefu ni kama miezi mi3 hivi, hivyo nisingeweza kujua mapungufu yake. sasa Unanishauri vipi kuhusu android nzuri ya Double line na bei ya wastani?
 
kama uko after double line basi Tecno L3 na M5 ni suluhu
zina run Android ya jellbean,Internal memory 2GB usable
M7 RAM 1GB
L3 RAM 512MB

Hivo M7 kashmfunika tayari L3 na kitu kinachobboa ktk TECNO P3/N3 ni 213MB RAM yaani inakera kila siku inakuja message ya LOW memory
 
p3 iko powa sana huyo jamaa kadanganya lakin hizo huawei na itel huwa zina heat sana halaf betri saa moja tu..p3 inakidhi wakuu.....
 
natumia itel 1450 ni android application zote zipo including google play. inatunza sana chaji. inakioo kikubwa sana hivyo kuinjoy kucheki videos au kuperuz mitandao. itafute online for more information. kwakweli nainjoy simu hii sio kama tecno ambayo imekuwa yeboyebo sikuhizi
 
kama uko after double line basi Tecno L3 na M5 ni suluhu
zina run Android ya jellbean,Internal memory 2GB usable
M7 RAM 1GB
L3 RAM 512MB

Hivo M7 kashmfunika tayari L3 na kitu kinachobboa ktk TECNO P3/N3 ni 213MB RAM yaani inakera kila siku inakuja message ya LOW memory

Duh! M7 ni kama bei gani hivi roughly?
 
Mku chukua Tecno P5 inauzwa laki na sitini ni nzuri sana hutojutia pesa yako Nimetumia P3 na L3 lakini hazijafikia kiwango cha P5
 
Attachments

  • 1385281313026.jpg
    1385281313026.jpg
    50.7 KB · Views: 364
Na N7 bei gani?

Mi nimeshagonga mwaka mzuma na galaxy min s3. Bila shaka si Jf si popote napita tu hata mambo ya modem nishasahau kitambo. Nawashauri wapenda amani na burudani mnunue simu za maana hata kama ni ghali ila utatumia kwa nafasi nzuri bila mashaka muda mrefu
 
Halo njunwa wamavoko je umewahi kuichunguza Huwaei 300y transcend ? Nitoleo jingine la huwaei baada ya kufeli sana betri kwenye huwaei sonic u8560 sasa hivsijui wana nini jipya na hiyo 300y .

Y300 haikai na charge but ina vtu vingi sana name y210 hiko njema sn upande wa charge compared to techno n3,p3 Even y 300!
 
Back
Top Bottom