Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Yani ukipumua juu kipi chini kipo
emoji848.png


🤣🤣🤣🤣🤣,
 
Nawashangaa sana nyie watu mliokuwa mna-support nyungu season 3 sasa mmeanza kurudiwa na akili baada ya kuona Corona ni zaidi ya kutafuta kick za kisiasa, mkawa mnamuona Mbowe adui kwa kuwataka mchukue tahadhari za kisayansi, leo nawe unalialia.

Now unataka waziri awe held accountable, mimi naona hata wewe pia unatakiwa kuwa held the same kwasababu ulichangia kufundisha watu ujinga, na kuzuia juhudi za kupambana na Corona mpaka sasa inadondosha watu bila breki.
Fungua mafaili yako yote kama utaona kuna kumbukumbu nilisapoti nyungu. Mbowe hana lolote zaidi ya kukariri habari za lockdown.
 
ITASHANGAZA DUNIA KUONA MPAKA SASA CHAMA KINACHOIJIITATA CHA KIDEMOCRASIA KINAKUWA NA MWENYEKITI WA KUDUMU ZAIDI YA MIAKA 20 HALAFU WANACHAMA WAKE HAWAKOSOI CHOCHOTE.
 
Hamna kitu bado naona ni hila za mabepari... Yote tisa chanjo kwangu bado sio salama na hata kwa bunduki sitochomwa
 
Hongera kwa Mara nyingine tena chagu wa malunde kwa kuwa mkweli. Mimi ni mkosoaji wako mkuu katika mambo mengi lakini unaposimamia ukweli lazima nikupe heko zako.

Kweli Katibu Mkuu Prof Mchembe ndiyo chanzo cha tatizo. Yeye ndiye aliyepeleka sampuli za oil chafu na mapapai kule National Health Lab.

Ni ajabu wasomi wa hali ya juu wanasaliti usomi wao kumfurahisha Meko
 
Back
Top Bottom