Itambue thamani ya uliyenae

Itambue thamani ya uliyenae

weee nani kasema nimejifunza unajua unaloongea somehow upo sahihi ila unapong'atwa na nyoka ukisikia mtikisiko wa majani lazima ushtuke uhisi inwezekana akawa nyoka tena naomba samahani pale napokosea au kuhisi kumkosea au kumkwaza mtu kwa namna yoyote ile siombi radhi ili kuombwa radhi in return naomba radhi kwa maana kwamba nimejua kosa langu lilipo sijakukosea bado niombe rahi ha ha ha ha hingii akilini hata kidogo na wala sikuekei kinyongo et umenikosea nikukasirikie nehi sipo hivo kabisa na inategemea na makosa pia.
Nungana na wewe Madame S, ila busara na hekima zitumike.
 
. ibra87. Huwezi kuishi bila mapenzi Ibra, sote tumepitia huko. Unapenda, unaumizwa, unasahau, unapenda, unaumizwa,unasahau, unapenda............ Ndo mzunguko ulivyo. Kikubwa ni kujitambua na kujiuliza ni kwa nini uko kwenye mapenzi na huyo uliyenae sasa? Pamoja na sababu Milioni utakazokuwa nazo, nakushauri usipende kwa 100%, never ever do that. Penda kwa 50% tu, 30% iwe kwa ndugu zako(blood related) na 20% kwa wengineo(jamaa, marafiki, mchepuko n.k). kwa njia hiyo kama mpenzi wako uliyempa 50% atakuumiza, unabaki na other 50% ya kupenda wengine. Hata kama akikukera, utakereka kwa 50&, na utaendelea kuwa salama kwa 50% pia. Nawashauri, mkiingia kwenye mahusiano ili msije kufa kwa pressure na kujiua msipende kwa 100%, pendeni kwa kiwango mabacho akizidi 50%. Mwenye kutaka maelezo zaidi ani-PM

Kumbe kupenda unapanga kabisaa upende kwa kiasi gani!! Mweeeh i thot ni unconscious action! Heaven Sent msaada mpz.
 
Last edited by a moderator:

Eeh na wewe sijui tunawazaga wote. me mwenyewe nimejiuliza hapa nikakosa jibu , unampendaje mtu nusu nusu, au me moyo wangu una kiherehere sana? Naanzaje kuishi na mtu kwa machale, with so much negativity? Yani nikae na mtu huku nawaza " anytime ataniacha, anytime ataniacha", kuna red flags au? If I can't trust you, si nakuacha tu ama? Mbona ni mateso bila chuki

C.c Chiwaso, tupe darsa kidogo
 
Ndio hapo sasa, hapo kuna haja gani ya kuwa kwenye mahusiano??
 
Last edited by a moderator:
Aah mbona shughuli haswa ndugu yangu. Kuishi kwa mashaka ni shughuli jamani. Huaminiki, kwa heri

Yaani ni bora uwe tu peke yako ijulikane moja au ile ya no strings attached labda(friends with benefit) kuliko umeamua kuwa kwenye mahusiano alafu ndio unakuwa na mtu usompenda!!
 
Unaishi kwa wasiwasi as if unaoga nje afu nyumbani kwa baba mkwe. Khaa basi tu single, ujipende mwenyewe 100%
 
Siku Zote Mahusiano Hukupa Upofu na Kukuaminisha kuwa Sehemu ulipo ni Sahihi bila kutambua kuwa Moyo Wa Mtu ni Msitu.

Unaweza ukaamini unapendwa kwa Asilimia zote lakini kumbe katika Moyo Wa mwenzako hakuna Kitu kama Hicho.. Anakuchukulia wewe kama Chombo Cha kumstarehesha na Siku Ambayo Utakuja Kugundua ukweli na hapo ndip utakapoamini kuwa Haya tunayosema ni Sahihi.

Kwenda kujiaminisha kwa Mwanamke/mwanaume na kuonyesha mapenzi yako yote basi jiandae Ama kwa kudharauliwa na Hata kulizwa.

Mbinu hii nimeipokea na nitajitahidi kuitumia tatizo penzi la kweli halifanyiwi na wala halina Majaribio
 
Kwa hiyo shem unatushauri tusipende kabisa au? Hayo mapenzi nusu nusu unayaonyeshaje, em tupe darsa tujue
 
kinachotakiwa hapo ni kuulinda moyo wako kwa maumivu ya baadae.. Namaanisha unapopenda Hata kwa Asilimia Zote hakikisha Huyo uliyempenda Hata Akiondoka Hakuathiri Chochote kile huo ndio upendo nusu.
 
Yani me hata nikupendaje, ukiondoka ntaumia tu siku mbili tatu, Nikitoka hapo naanza upyaaa. Nimlilie mtu maisha yangu yote khaaa
 
Back
Top Bottom