maxime
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 2,233
- 1,320
The closest stars ukiondoa jua ambalo lipo umbali wa takriban kilometa milioni 150... ziko umbali wa kilometa trilioni 40... mwaka wa nyota hizi unatumia 4.2 years kufika duniani (4 light years).(kasi ya mwanga ni kilometer 300000 kwa sekunde moja... ambapo ni sawa na trakribani mizunguko 8 ya ikweta yetu). Tambua kwamba nyota zinazalisha mwanga kwa maana hiyo kabla haijafika kwenye uso wa dunia that means tutakufa kwa joto kali hata kabla haijahit our earth surface.... kingine nafikir itaaffect our solar system...