Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,861
- 2,100
- Thread starter
- #21
Hiyo incident yaFatima ilikuwaje bro,Nyota ni jua. Uliza itakuwaje jua likiiangukia dunia. Katika ile incident yaFatima,Portugal,2917,watu waliona muujiza;jua lilianza kuisogelea dunia kwa kasi kubwa.Watu wote wakapiga magoti wakaanza kusali na kupiga mayowe. Lakini usually kama planet inaisogelea planet nyingine hazigongani. Ile planet ndogo inalipuka,inakuwa shattered into a million pieces. Ipo fistance maalum,umbali unapokuwa sawa na radius ya approaching big planet.