PatriceLumumba
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 426
- 584
Wote tunatambua kuwa Nyota ni kubwa.
Maradufu ya dunia, swali langu ni itakuwa vipi siku Nyota ikikosa uelekeo na kuja upande wetu? Je, ikiwa inaanguka itakuwa ikiteketea kama kimondo? Na kuna uwezekano wa kufika Duniani ikiwa Kama ilivyo? Kipande? Au iungulie yote njiani?
Nota hazitembei ila kitu kinachoweza kuja kuanguka duniani ni magimba makubwa (asteroid)kama kile kilichoanguka urusi mwezi frebruary 13 2013.Na hayo yako mengi sana kwa wingi wa mbilioni ya size tofauti.Hata kupotena kwa Dinosaurs miaka zaidi ya 60milioni iliyopita ni kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na kusababisha mimea mingi na wanyama kufa na sababu kubwa inasemekana ni kutokea mlipuko mkuwa uliotokana na kuanguka kwa gimba kuwa katika gulf ya mexico na kuleta madhara makubwa ikiwemo miliuko ya volcano,sunami na matetemeko ya ardhi.