Itakuwaje endapo dunia itaiwekea vikwazo Marekani na kampuni zake?

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,998
Marekani na nchi za ulaya wameiwekea vikwazo Urusi, vyakwazo ambavyo havijawai kutokea. Baada ya vikwazo Dunia imeshuhudia mfumuko wa Bei kutokana na vikwazo hivyo.

Sasa Leo tujadili upande wa pili, kutatokea Nini endapo marekani atawekewa vikwazo duniani, na kampuni zake kupigwa marufuku pamoja na pesa yake kupigwa marufuku Kama ilivyotokea kwa Russia.

Je, dunia itakuwaje bila ya hizi kampuni,huduma, za kimarekani.

Google
Tweeter
Instagram
YouTube
Facebook
Amazon
Coca-Cola
Pepsi
Boeing
Visacard
Master card
Nike
Puma
Colgate
Nivea
Apple
Dell
Hp
Fellari
USAID
St Jevelin etc
Pfizer
Modena
J j Johnson
Chanjo za ebora, polio,surua,pepopunda, ARV
Etc

Je Dunia itakuwaje endapo marekani atatengwa na dunia, yaani kampuni zake, mashirika, Tch yake yapigwe ban Kama ilivotokea kwa Russia.
Katibu
 
Anza kwanza ww kuweka vikwazo vya kutotumia hizo huduma ikiwemo internet afu uone adhari zake yaani ww iwekee USA vikwazo vya kutotumia huduma zao ndo utajua kwanini inaitwa the United States Of American
Haaaaa noma sana
 
Marekani na nchi za ulaya wameiwekea vikwazo Urusi, vyakwazo ambavyo havijawai kutokea. Baada ya vikwazo Dunia imeshuhudia mfumuko wa Bei kutokana na vikwazo hivyo.

Sasa Leo tujadili upande wa pili, kutatokea Nini endapo marekani atawekewa vikwazo duniani, na kampuni zake kupigwa marufuku pamoja na pesa yake kupigwa marufuku Kama ilivyotokea kwa Russia.

Je, dunia itakuwaje bila ya hizi kampuni,huduma, za kimarekani.

Google
Tweeter
Instagram
YouTube
Facebook
Amazon
Coca-Cola
Pepsi
Boeing
Visacard
Master card
Nike
Puma
Colgate
Nivea
Apple
Dell
Hp
Fellari
USAID
St Jevelin etc
Pfizer
Modena
J j Johnson
Chanjo za ebora, polio,surua,pepopunda, ARV
Etc

Je Dunia itakuwaje endapo marekani atatengwa na dunia, yaani kampuni zake, mashirika, Tch yake yapigwe ban Kama ilivotokea kwa Russia.
Katibu
Hutakuwa tofauti na mtu anayeweka mgomo wa kula wakati tumbo la kwako !![emoji28][emoji28]
 
Marekani na nchi za ulaya wameiwekea vikwazo Urusi, vyakwazo ambavyo havijawai kutokea. Baada ya vikwazo Dunia imeshuhudia mfumuko wa Bei kutokana na vikwazo hivyo.

Sasa Leo tujadili upande wa pili, kutatokea Nini endapo marekani atawekewa vikwazo duniani, na kampuni zake kupigwa marufuku pamoja na pesa yake kupigwa marufuku Kama ilivyotokea kwa Russia.

Je, dunia itakuwaje bila ya hizi kampuni,huduma, za kimarekani.

Google
Tweeter
Instagram
YouTube
Facebook
Amazon
Coca-Cola
Pepsi
Boeing
Visacard
Master card
Nike
Puma
Colgate
Nivea
Apple
Dell
Hp
Fellari
USAID
St Jevelin etc
Pfizer
Modena
J j Johnson
Chanjo za ebora, polio,surua,pepopunda, ARV
Etc

Je Dunia itakuwaje endapo marekani atatengwa na dunia, yaani kampuni zake, mashirika, Tch yake yapigwe ban Kama ilivotokea kwa Russia.
Katibu
Hapo Apple watu wa iPhone wote wazipasue [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Movies za Hollywood/Netflix/US.

JF ifungwe, maana nayo inatumia servers za US.

In fact Internet izimwe. Imeanzia US.

GPS systems zizimwe. Zimeanzia US.

Miamala yote inayotumia mifumo ya US ikatwe.

Ukiwa unatumia Windows ondoa kwenye computer.

Mashirika yote ya ndege yanayotumia Boeing yazipige chini.

Muziki wa Marekani marufuku.

Biashara ya kutumia US dollar piga chini.

Hairuhusiwi hela za Watanzania waishio Marekani kuja Tanzania.

No more Henessy.

The list goes on.
 
Hapo Apple watu wa 8Phone wote wazipasue [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Movies za Hollywood/Netflix/US.

JF ifungwe, maana nayo inatumia servers za US.

In fact Internet izimwe. Imeanzia US.

GPS systems zizimwe. Zimeanzia US.

Miamala yote inayotumia mifumo ya US ikatwe.

Ukiwa unatumia Windows ondoa kwenye computer.

Mashirika yote ya ndege yanayotumia Boeing yazipige chini.

Muziki wa Marekani marufuku.

Biashara ya kutumia US dollar piga chini.

Hairuhusiwi hela za Watanzania waishio Marekani kuja Tanzania.

No more Henessy.

The list goes on.
Dadadeki huyo mtu duniana ameiweke mfukoni[emoji3]
 
Wazungu wana IQ ndogo sana, hawafikirii vitu mpaka mwisho
 
Mmarekani, Mjomba wake(Israel), Swahiba wake wa damu, UK, wanajitosheleza kwa kila kitu. Kutoka viwandani mpaka mashambani. Sijui utamuwekea vikwazo kwenye nini?
 
Marekani na nchi za ulaya wameiwekea vikwazo Urusi, vyakwazo ambavyo havijawai kutokea. Baada ya vikwazo Dunia imeshuhudia mfumuko wa Bei kutokana na vikwazo hivyo.

Sasa Leo tujadili upande wa pili, kutatokea Nini endapo marekani atawekewa vikwazo duniani, na kampuni zake kupigwa marufuku pamoja na pesa yake kupigwa marufuku Kama ilivyotokea kwa Russia.

Je, dunia itakuwaje bila ya hizi kampuni,huduma, za kimarekani.

Google
Tweeter
Instagram
YouTube
Facebook
Amazon
Coca-Cola
Pepsi
Boeing
Visacard
Master card
Nike
Puma
Colgate
Nivea
Apple
Dell
Hp
Fellari
USAID
St Jevelin etc
Pfizer
Modena
J j Johnson
Chanjo za ebora, polio,surua,pepopunda, ARV
Etc

Je Dunia itakuwaje endapo marekani atatengwa na dunia, yaani kampuni zake, mashirika, Tch yake yapigwe ban Kama ilivotokea kwa Russia.
Katibu
Hapi naona you tube na google ndio ya maana kwangu.
 
Hapo Apple watu wa iPhone wote wazipasue [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Movies za Hollywood/Netflix/US.

JF ifungwe, maana nayo inatumia servers za US.

In fact Internet izimwe. Imeanzia US.

GPS systems zizimwe. Zimeanzia US.

Miamala yote inayotumia mifumo ya US ikatwe.

Ukiwa unatumia Windows ondoa kwenye computer.

Mashirika yote ya ndege yanayotumia Boeing yazipige chini.

Muziki wa Marekani marufuku.

Biashara ya kutumia US dollar piga chini.

Hairuhusiwi hela za Watanzania waishio Marekani kuja Tanzania.

No more Henessy.

The list goes on.
GPS ikizima kuna Glonas ya mrusi
 
Back
Top Bottom