Itakuwaje CHADEMA bila Dr. Slaa?

Ukweli unabakia pale pale CDM = Slaa, baada ya hapo Chama kwisha kabisaaaaa, kinawekwa makumbusho ya Taifa.
 
Ni sawa na kuuliza CCM bila Nyerere ingewezekana??? Kwa CHADEMA tunahitaji komitedi membazi sio akina zito wanaojichanganya tu.
 
ki ukweli ni kwamba Dr Slaa ametoa mchango mkubwa kwenye chama na hata kwa taifa kwa ujumla na namuombea adumu.CDM imejengwa ikajengeka ina watu makini sana ila kuhusu who is next to be honest simkubali Zitto,mwelekeo wake si mzuri tangu muda mrefu anaonekana kutofautiana na viongozi wake, na kosa kubwa analofanya ni kuonyesha hivyo hadharani badala ya kufuata taratibu za chama.ILA NINA IMANI KUBWA NA CHAMA KWA KUA KINA HAZINA YA KUTOSHA YA WATU MAKINI.
 
Zitto si mlamba watu miguu, ana misimamo yake anyosimamia, call him whatever but the face of CDM today has been shaped by his attributes kama mtu mwenye misimamamo.
 
Cdm was there before Slaa came in and its existence shall remain firm and long even after Slaa has gone away,but his efforts and success with cdm will last forever.I will much appreciate if we discuss loosing Zitto and the likes as their time is up for cdm's prosperity.
 
Though Dr is instrument in giving name to CDM, and he is a key person in the CDM for the time being, it is wrong to say CDM=Slaa because Chadema is a party which will always continue to exist even after Slaa. We give Dr his due respect of course, but he is not Chadema and Chadema is not Slaa. He is significant part of the party for the time being. It is wrong to tie parties to individuals as if it is their homes....sharpen your thinking mkuu
Don't you believe that CCM=JMK?
 
Naamini Zitto will correct his mistakes and return to the line.

CDM haitakufa regardless nani ataondoka, CDM kwa sasa inaungwa mkono na wasomi na vijana,hata huko vijijini walikosema upinzani haujulikani, nuru ya mabadiliko imeshawaangazia kwa hiyo chama kitaendelea kuwepo daima.

Lissu is also there, Mdee and many others are there to take the party from where Dk. Slaa will end.
 
Dr. Slaa siyo CHADEMA, na CHADEMA siyo Dr. Slaa. Kwa hiyo CHADEMA itaendelea kuwepo hata kama Dr. Slaa ataondoka, kikubwa ni Sera makini za chama. Ni ukweli usiopingika kwamba Dr. Slaa amefanya makubwa ambayo hayaelezeki, hivyo hana budi kuenziwa na chama makini.
 
Dr. Slaa siyo CHADEMA, na CHADEMA siyo Dr. Slaa. Kwa hiyo CHADEMA itaendelea kuwepo hata kama Dr. Slaa ataondoka, kikubwa ni Sera makini za chama. Ni ukweli usiopingika kwamba Dr. Slaa amefanya makubwa ambayo hayaelezeki, hivyo hana budi kuenziwa na chama makini.
 
Baba naomba nikusalimu, salaam.

Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kusema neno kwako. Binafsi naamini una kipawa na karama ya uongozi. Watanzania na wasio watanzania wanaamini katika hili. Naomba utafakari tena juu ya kujiondoa kwako katika masuala ya kisiasa na kijamii.

Tanzania hii tuna "ombwe" la Uongozi, kwa maana hiyo wewe ni rasilimali muhimu na adimu ambayo Tanzania yetu inahitaji. Hebu Baba tafuta jukwaa utakaloliona ni muafaka kwako ili ututumikie sisi watanzania.

Uliopokuwa katibu mkuu wa TEC ulifanya kazi nzuri ya kututumikia watanzania kutumia jukwaa Hilo. Ulipoamua kujiunga na CHADEMA na kuwa Mh Mbunge, Katibu Mkuu wa chama na mgombea urais ulikuwa ukitutumikia watanzania sema jukwaa lako lilikuwa CHADEMA.

Baba nakuomba urudi nyumbani ili ututumikie tena. Tafakari kwa makini na uchague jukwaa utakaloona ni muafaka kwako kwa Nia moja tu ya kututumikia watanzania. Kwani nick kipi hicho ulichofanya hadi watanzania wasikusamehe. Petro alimkana Yesu na akasamehewa. Kuna walioamuru kurudiwa kwa uchaguzi na sasa wanaandaliwa "TUZO YA NGUVU" kuwaenzi.

Rudi Baba tuijenge Tanzania yetu ili iwe "Paradiso". Kina "Trump" wakishindwa uchaguzi waje Tanzania kupumzika. Waafrika wenzetu wanaokufa baharini kwa kuitafuta "Paradiso" ya Ulaya waione Tanzania mithili ya "pepo" kwao. Rudi Baba tuijenge Tanzania yetu.
 
Umempa sifa nyingi ambazo hana.
Ni mwoga kupindukia.
Anaweza kuyumbishwa na mwanamke (japo hili wengi linawahusu)
Ana shingo ngumu (wasomaji wa biblia watanielewa)

Hajawahi kusoma maneno haya yafuatayo:-
A friend in need is a friend indeed

Alitukimbiaaaaaaaaa

Na akifa azikwe huko huko.
 
Arudishe kwanza pesa alizopewa na ccem na atangaze hadhari tutamfikiria ujumbe wa nyumba kumi kumi
 
Back
Top Bottom