Itakuwaje CHADEMA bila Dr. Slaa?

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Dr. Slaa gave CDM big fame this time. Suppose his not there, who is next in line?
 
Though Dr is instrument in giving name to CDM, and he is a key person in the CDM for the time being, it is wrong to say CDM=Slaa because Chadema is a party which will always continue to exist even after Slaa. We give Dr his due respect of course, but he is not Chadema and Chadema is not Slaa. He is significant part of the party for the time being. It is wrong to tie parties to individuals as if it is their homes....sharpen your thinking mkuu
 
Dr. Slaa gave CDM big fame this time. Suppose his not there, who is next in line?
Think this way............... Waanzilishi wa CCM karibu wooteee washakufa.............. Lakini we still have CCM.................. KWA HIYO CDM = MEMBERS
 
Though Dr is instrument in giving name to CDM, and he is a key person in the CDM for the time being, it is wrong to say CDM=Slaa because Chadema is a party which will always continue to exist even after Slaa. We give Dr his due respect of course, but he is not Chadema and Chadema is not Slaa. He is significant part of the party for the time being. It is wrong to tie parties to individuals as if it is their homes....sharpen your thinking mkuu

i salute you bro, kama ningekua na uwezo ningekupigai japo mizinga saba.
 
mi nafkiri ukifuata mtiririko huu utakusaidia.

Chichi em: Mwalimu Nyerere............Mwinyi.............Mkapa....................Kikwete..........................? may be (ASHA ROSE MIGIRO)

Chadema: Mbowe......................Slaaa.....................? may be (ZITTO KABWE)

kumbuka: watu wanazaliwa wtu wanakufa, wanasiasa wanakufa, wanasiasa wanazaliwa
 
kweli zitto was next, lakini kwa papara zake za kukimbili vyombo vya habari kupingana na misimamo ya chama hadharani anajishusha mwenyewe. Ni vyema kaanza kukomaa na kukubali silence is the best healer.
 
think this way............... Waanzilishi wa ccm karibu wooteee washakufa.............. Lakini we still have ccm.................. Kwa hiyo cdm = members
existence ya ccm is based on being a state party "chama dola", its existence is through state apparatus and resources
the day it is not in power that is the end of ccm.
 
Usiwe na hofu kabisa mzee.Nadhani Peter ni binadamu aliyezaliwa na mwanamke kwa hiyo wapo wengine watakuja tu we are 45 million mind you?
 
Mimi watu ambao siwaamini cdm zitto ni wa kwanza.kwa sababu kila mgogoro unaotokea zitto yumo(uenyekiti,kususia Bunge)zitto anadhani akitoka cdm itakufa kumbe siyo.na siku akitoka ataenda nccr then ccm baada ya hapo ataunda chama chake.dah...!!siasa ni balaaa...!!
 
Hizo ndizo siasa. Kwenye kundi la Mamba na Kenge huwa wamo! mara nyingi kenge hujulikana pale wanyama hao wanapokurupushwa ama kuwa kwenye cricisi! CCM itakapotengeneza crisis ndani ya CHADEMA ijue ndiyo inasaidia kuondoa ma-kenge kundini ili wabaki Mamba peke yao! kinachotakiwa hoa kenge wasije chukua key areas kwani wakishachukua watakisambaratisha kama ilivyofanyika kwa NCCR-Mageuzi na CUF!
 
KUNA LIPI UNALOLIJUA JUU YA KUTOKWEPO KWAKE DR SLAA KULE CHADEMA???

Hebu Mhe Ng'wanangwa tuliza kwanza hasira zako na wewe kupigapiga kopyuta nyundo hapo ...

Hivi huyu muuliza swali mwenye nyota chache kupost JF anatusukuma tuelekee kwenye PREDICTIONS ili tukagundue UJUMBE GANI uliofichama juu ya Usalama wake Mhe Dr Slaa??????????????

Mwenzetu hebu tuhabarishe zaidi hapa. Swali kama hili kuulizwa kwa kipindi kama hiki nchi .... ????????????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom