Itakuwaje CHADEMA bila Dr. Slaa?

Umempa sifa nyingi ambazo hana.
Ni mwoga kupindukia.
Anaweza kuyumbishwa na mwanamke (japo hili wengi linawahusu)
Ana shingo ngumu (wasomaji wa biblia watanielewa)

Hajawahi kusoma maneno haya yafuatayo:-
A friend in need is a friend indeed

Alitukimbiaaaaaaaaa

Na akifa azikwe huko huko.
jogi humu tunatumia ID bandia ambazo baadhi yake zinaficha uhalisia mwingi tuu
Kila mtu naturally hakosi wapenzi washabiki nk! Ni haki ya kiasili mno lakini unapoona post za namna hii fahamu kuwa kuna la ziada(kumbuka zile picha la last week)
 
Duuuhh kazi kweli kweli.
Katika "tasnia" ya mapenzi hakuna mwanaume SHUJAA. Rejea kisa mkasa cha Samson, Mfalme Daudi na yule mke wa mtu, lakini mwisho ni yule Binadamu mwenye hekima nyingi Mfalme Selemani aliekiuka maagizo ya "yeye alie juu" kwa kuoa wanawake wanaoabudu "miungu".
 
1474179162081.jpg
gravitational force
 
jogi humu tunatumia ID bandia ambazo baadhi yake zinaficha uhalisia mwingi tuu
Kila mtu naturally hakosi wapenzi washabiki nk! Ni haki ya kiasili mno lakini unapoona post za namna hii fahamu kuwa kuna la ziada(kumbuka zile picha la last week)

Mshana Jr, "tayari umeshapiga ramli?"
Hakuna la ziada zaidi ya kumwomba Mzee wetu arudi tuijenge Tanzania yetu. Tungali tunamuhitaji.
 
Nimekupata mkuu, pia maneno haya yasije kuwa ni maandalizi ya picha inayochezwa na lipumb
jogi humu tunatumia ID bandia ambazo baadhi yake zinaficha uhalisia mwingi tuu
Kila mtu naturally hakosi wapenzi washabiki nk! Ni haki ya kiasili mno lakini unapoona post za namna hii fahamu kuwa kuna la ziada(kumbuka zile picha la last week)
 
Mzee kapata bahati ya kuwa raia wa ulaya halafu wewe unamwambia arudi hapa aje ashushwe aishi kama Shetani, atakubali, hata ningekuwa mimi nisingekubali

Fungu lake bado analo na analitumia vizuri. Ila kuna professor mmoja sijui zake alizipeleka wapi maana karejea uraiani haraka mno na hasira kali kama mbogo!
 
Duuuhh kazi kweli kweli.
Katika "tasnia" ya mapenzi hakuna mwanaume SHUJAA. Rejea kisa mkasa cha Samson, Mfalme Daudi na yule mke wa mtu, lakini mwisho ni yule Binadamu mwenye hekima nyingi Mfalme Selemani aliekiuka maagizo ya "yeye alie juu" kwa kuoa wanawake wanaoabudu "miungu".

Mwanamke ana nguvu toka enz na enzi msimlaimu slaa, Delilah alimmudu Samson alieogopwa mji mzima Daudi akajiangamiza kwa kulala na mke Wa Uria
 
Ni kweli bado anahitajika sana! Lakini swali muhimu la kujiuliza ni kwamba je anahitajika na nani?
Kwakuwa yeye ni mtu mzima ana utashi wa kuamua kurudi bila hata kuombwa kufanya hivyo!

Tanzania na jamii kwa ujumla. Ndio maana nimesihi atafute jukwaa ambalo ataona ni muafaka ili awatumikie watanzania.
 
Nadhani kila kitu na kila jambo lina wakati wake! Muda sahihi ukifika hufanyika na muda sahihi ukipita hakuna haja ya kulazimisha. ..kama muda uliokubalika ni sasa kwenye jambo fulani utumie vema ili usije ukabaki na majuto
 
Kuna MAANA GANI mtu anaanzisha MADA kisha mada yake inaunganishwa na mada nyingine.

Mada yangu ni juu ya "ombwe la kiungozi" na namna ya kuliziba kwa "kuhamasisha wenye uwezo na vipawa" wajitokeze. Mnaiunganisha na "mada" zilipendwa tena zenye MAUDHUI tofauti.

Mada yangu nimeiandika kwa lugha adhimu ya kiswahili, mada unaiunganisha ni lugha ya kigeni. Hii ni "barrier of communication". Kama mada haifai si bora muifute.
 
Back
Top Bottom